Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbeya ni 5th sio 4th largest city,harafu hiyo picha ni ya zamani Kwa Sasa hapo katikati Kuna magorofa mengi umeanza kujengwa.
Mbona Thika ni kubwa!?
Screenshot_2024-09-03-10-07-53-42_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Leta evidence ya sisi kwenda kupiga magoti kuomba msamaha kama hii ya kwenu ambayo Ruto kaenda kupiga magoti aongezewe muda.
Taarifa yako haijaonesha tulipiga goti
 
Tatizo la Yanga wanajifanya ni klabu yenye malengo ya mbali kuliko klabu zote Africa na duniani kwa ujumla, wamuache kijana akapambane na hali yake.
Mkuu waarabu sio watu wa kwenda kuchezea timu zao.
Refer kilichomtokea Msuva,walikua hawampi mshahara hadi kaenda kushitaki ndio kashinda kesi akapewa mshahara wake.
Pia hao wanaweza wakakuweka benchi hadi ukaua kiwango.
Waarabu hawafai.
 
So hii inasaidia Kenya kuondoa njaa??😅😅
You don't know!? Our sportsmen are our ambassadors who market Kenya outside. He is not just touring. He is there to sell Kenyan sports agenda. Have you ever asked yourself why Kenya is home to many Multi National organisations in Africa!? Marketing and perceptions.
 
Just tell me the entertainment in Bongo ni gani. Ama unaongelea zile simping songs?
Hizo unazoziita simping song ndio zina hit Afrika nzima hadi Ulaya.
Embu nioneshe hit yeyote ya Ukunya inayohit kama Komasava.
Au inayohit kama yope.
 
You don't know!? Our sportsmen are our ambassadors who market Kenya outside. He is not just touring. He is there to sell Kenyan sports agenda. Have you ever asked yourself why Kenya is home to many Multi National organisations in Africa!? Marketing and perceptions.
Thanks to being capitalists puppets since independence and cold war
 
Kundudwellers wanajitahidi sana kuanzisha mada baada ya mada kuficha hii aibu. Lakini sisi tutawang'ang'ania kama shingoni tai

1725457091644.png
 
Je nimepiga magoti kama weye? Yaan Ruto kafunga safari kabisa, kachoma mafuta ya ndege, per diem yake,make wake, walinzi wake na mawaziri kwenda kuomba msamaha wa deni kwa nchi aliyosema haifai kulipa🤣🤣
 
Back
Top Bottom