Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kijana Abdul hio picha ya mwisho huoni tatizo ???
Tanzanian is not known anywhere.Kipindi mna brag vitu vya kipuuzi kuvaa Kenyan bracelet na jezi Tanzania is Known kama taifa lenye diplomasia kubwa hapa Afrika.
Sio East Afrika bali Afrika nzima.
Ndio maana hata UK wana diwani ambaye ni asili ya Tanzania,tena alihamia UK wala hakuzaliwa na kukulia UK.
Wakati huo huo TZ tuna mama yetu Tulia Ackson rais wa mabunge duniani.
Ninyi hiyo kuvaa bracelet za Kenya sijui kunawaletea faida gani.
Ni sawa na mtu mwenye umaarufu usio na faida.
Mbeya ya Jana sio ya Leo 👇👇Kijana Abdul hio picha ya mwisho huoni tatizo ???
Mbeya ni 5th sio 4th largest city,harafu hiyo picha ni ya zamani Kwa Sasa hapo katikati Kuna magorofa mengi umeanza kujengwa.4th biggest city in utanzakundu 😃View attachment 3086122
Doesn't matter, as long as ni city in TanzaniaMbeya ni 5th sio 4th largest city,harafu hiyo picha ni ya zamani Kwa Sasa hapo katikati Kuna magorofa mengi umeanza kujengwa.
Sio tuu ni City Bali the region is the Third Largest Economy in Tanzania in GDP terms.Doesn't matter, as long as ni city in Tanzania
Alaaa kumbe it gets more worse. The Kenyan equivalence is the Mombasa region. Kwanza ni Nairobi pili Kiambu alafu kisha Msa.Sio tuu ni City Bali the region is the Third Largest Economy in Tanzania in GDP terms.
Sasa mbona siku nzima umejibanza hapa JF?😎Tanzanian is not known anywhere.
Hii si hata Siaya imeshinda 😂🤣😂4th biggest city main avenue in utanzakundu 😃View attachment 3086122
Lia ukitaka.Sasa mbona siku nzima umejibanza hapa JF?😎
Wamedanganywa kwamba wako happy😅
View: https://x.com/ntvkenya/status/1830953951673319718?t=bUk0VWocMxC3u1R1InsNHQ&s=19
Geza Ulole hii ndio maana ya kubebwa ufala. Msiwe mnatumia slang za Kenya bila kujua maana yake.Collabo ya Adani 🤝 DP world ndani ya dar slum. Alafu wako freshi tu bila kelele. Watanzakundu bana, 😂😂😂View attachment 3085832
Ingekua vice versa wangekimbia mbio kusema wakenya wanatuibia kipchoge wetu makatuni tu hawa wabongo.
View: https://x.com/isaac_1708/status/1182945139653857280?t=ffwRlHQoISfu2dewAzWJWQ&s=19
Silii hata siku moja. Ninakucheka tu😂😎Lia ukitaka.
Unaona kubebwa ufala? Rais wenu akienda ziara ya ombaomba mnasherehekea, huku kwetu tunamkashifu.