Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti na TAZARA ni investment gani ya maana mchina kafanya Tanzania? Imagine after kununua mabasi Yao kwa wengi they are still coming to assemble those buses in Kenya.
🤣🤣🤣🤣🤣🐖🐖🐖Ona hii piglet.
Viwanda vya urafiki textile alifungua murkomen!??
 
Kwa hivo Hersi ndio mwenye club zote za mpira bongo? Kwa hivo bila Hersi hakuna mpira bongo?🤣🤣🤣

Kupiga picha hata wewe ukienda kuangalia mpira PSG unaweza tafuta hao mastaa ukapiga picha nao ila kuwekwa kwa page yao uitwe Legend hamna Mtanzania hata mmoja anaweza hilo. Hata Rais wenu hawezi.

Wacha ujinga. Next utasema Hersi amemshinda Ronaldo?

Una akili ya kitoto sana. Never mention kipchoge the legend na huyo Hersi. The respect alone that that name brings to Africa is bigger than the whole football industry of bongoland. Kipchoge name is bigger than the whole Simba club, leave alone Hersi. Ukitaja kipchoge popote hapa ulimwenguni wanamjua, ukitaja Simba wanajua ni yule wa Lion King.🤣
Hayo ni maneno ya kujifariji tu kaka, usilazimishe vitu mkuu, mambo yanajieleza yenyewe. Ni athletes wachache sn duniani au celebrities wachache mnoo duniani waliowahi kujulikana na kila mtu duniani wakiwemo Michael Jackson, CR7, Messi n.k lkn walio wengi wanafahamika hapa lkn pale hawafahamiki kutokana na aina ya tasnia aliyopo na mtazamo wa watu katika tasnia hiyo, na mazingira waliyopo watu husika.

Kwa mfano Kipchoge hapa hapa East Africa hajulikani kiivyo kama unavyodhani, mfano ni huku Tanzania watu wengi hawajui lolote kuhusu Kipchoge, hata mimi mwenyewe sikuwa namjua mpaka mwaka juzi kama sikosei alipopandishwa ndege ndipo nikamjua kupitia humu jf lkn sina taarifa zozote kumuhusu na sifahamu kama bado anakimbia ama la ukiachilia mbali sijawahi kumuona akikimbia. Hiyo inatokana na watanzania wengi kutofuatilia mambo ya riadha.
 
Hebu sasa tuanze kuongea kwa data:

1725449867577.png

VS

1725449909719.png
 
Kumbe ndo huna aibu umeleta dealership Mimi nimekuletea assembly plant ya Chinese product. Kuna kongani ya viwanda vingi sana vinajengwa na soon mtaanza kuviona dealership tumewaachia nyinyi maana hata tukikuuliza mmeuza ngapi toka muanze kuwa madealer hata 2000 havifiki.
Kuhusu dealership Tanzania Kuna soko la trucks sana kwa sababu ya mizigo Sasa nani achukue uwakala kwa kitu ambacho hakuna soko. Muda ukifika badala utaona watu wanaleta viwanda
Faw, Howo, Mercedes, Volvo, Scania, Isuzu, Hino, Fuso, Hyundai, Leyland, Dongfeng, Tata, Foton, Renault, Eicher, Shacman, JAC, Beiben, Man, UD.

Hizi zote zinakua assembled in Kenya, ebu tuambie ni ngapi gani kwa hio list zinakua assembled in bongoslum?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kituko cha mwaka 2024
 
Kumbe ndo huna aibu umeleta dealership Mimi nimekuletea assembly plant ya Chinese product. Kuna kongani ya viwanda vingi sana vinajengwa na soon mtaanza kuviona dealership tumewaachia nyinyi maana hata tukikuuliza mmeuza ngapi toka muanze kuwa madealer hata 2000 havifiki.
Kuhusu dealership Tanzania Kuna soko la trucks sana kwa sababu ya mizigo Sasa nani achukue uwakala kwa kitu ambacho hakuna soko. Muda ukifika badala utaona watu wanaleta viwanda
Unaongelea less than 2,000 while Isuzu alone has assembled more than 100,000 trucks😂😂🤣👇👇

1725450305294.jpeg
 
Yani kifkra tuna tofauti kubwa sana. Wakati Wakenya wanaghadhabishwa na huu ujinga wa Rais wetu kuitwa China na Rais wa China, Bongolala zinasherehekea eti Rais wao kapiga picha na Rais wa China. Ukienda kwa comments, Wakenya wanauliza maswali, bongolala zinasherehekea. Akili zenu za kitoto sana. Yani kama enzi za Moi vile, ukikutatana na Rais unapiga picha unaibandika sebuleni kwako. 🤣 🤣 🤣
Acha wivu kijana. Jana si Teargas alisema mmebeba madeals.

Na narudia usifananishe Tanzania na any Africa country mbele ya CHINA TAFADHALI.
 
Back
Top Bottom