Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni ajabu liinchi juzi lilikua linafurahi kupewa NON NATO ALLY status leo linategemea China alifanyie kitu wakati NATO wapo kuleta Chokochoko kule South China Sea?

Na wakikosa wanaanda maneno ya sizitaki mbichi.

NON NATO ALLY yupo na stalled roads projects (I bet Mombasa Nairobi Highway ipo) ambayo Baba yao USA alitoa pesa leo wapo China kukopa (Serious hizo sio tabia za Kimalaya)
China angewapiga chini tuu 😂😂

Bora hata 🇹🇿 tuko kwenye NAM tunaeleweka.
 
How many Chinese truck brands do you assemble in bongoslum?
Usituondoe kwenye mada. Hapa unaongea na wasomi. Wasomi hujadiliana kitu kimoja na wakafikia Conclusion.
Leo tunaongelea Importance of African Leaders to visit China for FOCAC.

Sisi Tanzania tumeonesha Signing of TAZARA MoU. Ruto amewaletea faida gani. Baada ya hapo tutajadili issue ya magari. Ukinijibu tunahamia kwenye magari

1725451921685.png
 
View attachment 3086858
Ju huyo Ruto asharudi Kenya ama, tuliza mk*ndu ungoje amalize ziara yake kwanza, for now tuambie muna assemble truck models gani huko bongoslum?
 
Ju huyo Ruto asharudi Kenya ama, tuliza mk*ndu ungoje amalize ziara yake kwanza, for now tuambie muna assemble truck models gani huko bongoslum?
Umekubali kuwa mpaka sasa Ruto ameabulia patupu 🤣 🤣 🤣 🤣

Twende sasa kwenye magari. Tuambie Kenya Brand of Vehicle tofauti na hii 👇👇👇👇 🤣🤣🤣

1725452314079.png
 
Back
Top Bottom