President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Unataka sasa tuanze kujadiliana? 🤣 🤣 🤣 🤣 Njoo kwa respectMobius.
Unataka sasa tuanze kujadiliana? 🤣 🤣 🤣 🤣 Njoo kwa respectMobius.
Wewe nguruwe nani akupe respect?Unataka sasa tuanze kujadiliana? 🤣 🤣 🤣 🤣 Njoo kwa respect
Ni kama juhudi za mfamaji vileRuto anatakiwa afukuze watu wote hapo kwenye ikulu yake atafute watu wenye professions wanaojua media and International protocols. They are creating bad image. Labda ni yeye anafanya hivyo.
Unatamani sana mambo yawe hivyo 🤣🤣🤣🤣. Lakini kiuhalisia hakuna Investor kwa sasa anaweza Invest Kenya hakuna resources
Sisi sio kama nyinyi mulishindwa kulipa deni ya Tazara, mukaenda kulilia wachina wawasamehe ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣🤣William Ruto intends to ask China for a $1 billion loan and a debt repayment restructuring plan, the country's vice-president said on Friday.
According to Rigathi Gachagua, the head of state, who criticized his predecessor's heavy borrowing from Beijing, will visit China at an unspecified date. He will ask for "more time to slowly repay the debt", as well as a billion dollars to complete road projects delayed by lack of fundin
Kenya, one of East Africa's largest economies, has accumulated more than $68 billion in debt, equivalent to 67% of its gross domesti
Jibu kwanza hili maana naona mnalikwepa . Vipi mmeshindwa kulipa mkopo mpaka mnaomba extension ?
Vipi tena hii 1bil Moja ndo ya kumalizia konza na miradi mliyochemka
So Mobius iko Tanzania ama?😂😂🤣😂Unatamani sana mambo yawe hivyo 🤣🤣🤣🤣. Lakini kiuhalisia hakuna Investor kwa sasa anaweza Invest Kenya hakuna resources
Just tell me the entertainment in Bongo ni gani. Ama unaongelea zile simping songs?
Nimekuambia hizo ni ndoto za mchana hata Masoud Kipanya anatengeneza magari 🤣 🤣 🤣 🤣So Mobius iko Tanzania ama?😂😂🤣😂
Endelea kupiga kelele.Kwanza tuangalie Hawa wanamziki Bora east africa. Nitajie Kuna wakenya wangap![]()
TRT Afrika - Meet the 2023 East Africa's top streaming music stars
Despite the popularity of West African Afrobeats, East African artists also feature prominently at the top of different music charts.trtafrika.com
Which engine does Mobius use?
Ebu tuonyeshe hata gari moja ya huyo kipanya ikiwa barbarani 😂😂Nimekuambia hizo ni ndoto za mchana hata Masoud Kipanya anatengeneza magari 🤣 🤣 🤣 🤣
Which engine does Mobius use?
Seven years ago, they began with the fairly ungainly "Mobius One" prototype, using a one-liter, four-cylinder Toyota engine and the skills of local welders …
Mmekaa chumbani baada ya kupiga teargas kwenye maandamano,mna njaa,mkaamua mtengeneze takwimu kujifurahisha
So leo hii Tanzania invest amekuwa Mkenya?😂😂🤣😂👇👇Mmekaa chumbani baada ya kupiga teargas kwenye maandamano,nba njaa,mkaamua mtengeneze takwimu kujifurahisha
Leta evidenceSisi sio kama nyinyi mulishindwa kulipa deni ya Tazara, mukaenda kulilia wachina wawasamehe ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣🤣
BJ 50😁Usituondoe kwenye mada. Hapa unaongea na wasomi. Wasomi hujadiliana kitu kimoja na wakafikia Conclusion.
Leo tunaongelea Importance of African Leaders to visit China for FOCAC.
Sisi Tanzania tumeonesha Signing of TAZARA MoU. Ruto amewaletea faida gani. Baada ya hapo tutajadili issue ya magari. Ukinijibu tunahamia kwenye magari
View attachment 3086858