RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,879
- 129,898
Hii ndio dealership ya Haval? 🤣 🤣 🤣 Unatuonyesha assembly ya trucks kitu tumezoea kuona Kenya. Huna hata aibu. 🤣🤣
Hii ndio dealership ya Haval? 🤣 🤣 🤣 Unatuonyesha assembly ya trucks kitu tumezoea kuona Kenya. Huna hata aibu. 🤣🤣
Kwa taarifa yako tu Haval zimeanza kutumika Tz muda mrefu nyingine zinachakaa sasa hivi.Sema tu hakuna Haval dealership in bongoslum, wacha kutapatapa. Munategemea wawekezaji wa serikali kwa asilimia 90%.
Uganda tuu ndio anaweza akatufatia kwa mbali na petro dollars zao.Kama hii miradi itakamilika na kuanza operation; SGR, JNHPP, EACOP, sidhani kama kuna nchi itaikaribia Tanzania kiuchumi hapa East and central of Africa.
Faw kibahaScania-kibaha
Faw ni juzi,scania enzi na enziFaw kibaha
Hebu taja wasanii/entertainers watano kutoka kenya
There is no Scania assembly in Tanzania.Faw ni juzi,scania enzi na enzi
Google inakunyima taarifaThere is no Scania assembly in Tanzania.
Don’t you know how to search from Google?Hebu taja wasanii/entertainers watano kutoka kenya
Nawajua wasanii kenya toka marehem pox pressure mpaka alipomalizia nyota ndogo,baada ya hapo sijasikia msanii toka kenya,ndiyo nashangaa,nitajieDon’t you know how to search from Google?
Scania ya kwanza kuwa assembled in East Africa ilikuwa kibaha in the 70sFaw ni juzi,scania enzi na enzi
YapScania ya kwanza kuwa assembled in East Africa ilikuwa kibaha in the 70s
Not a franchised dealership, this is just an independent dealership ndio kwa maana hata anauza other brands, they don't have exclusive rights like franchised Haval Dealership in Kenya and South Africa.Home » Kifaru Motors Tanzania
www.kifarumotors.co.tz
Ulisema hakuna dealership,umewekewa now unabadili gia anganiNot a franchised dealership, this is just an independent dealership ndio kwa maana hata anauza other brands, they don't have exclusive rights like franchised Haval Dealership in Kenya and South Africa.
Leta evidence
Ulisema hakuna dealership,umewekewa now unabadili gia angani
Kwani dealership ni nini?Huko bongoslum Haval anauza Leyland. 🤣 🤣 🤣
Bongoslum dealerships mingi ni za mchongo tu, ndio kwa maana hujui franchised dealership with exclusive rights. 🤣 🤣 🤣Kwani dealership ni nini?
Kuna toyota tanzania, ndiyo maana nikakuuliza dealership ni nini!?..acha kujichekesha kama una autismBongoslum dealerships mingi ni za mchongo tu, ndio kwa maana hujui franchised dealership with exclusive rights. 🤣 🤣 🤣