Lete takwimu hapa.And yet China prefers to invest in Kenya than Tanzania. Wachina wanawabeba ufala 😂😂🤣😂
Lete takwimu hapa.And yet China prefers to invest in Kenya than Tanzania. Wachina wanawabeba ufala 😂😂🤣😂
🤣 🤣 🤣Unahama mada hatuzungumzii unachozungumzia still unahama mada.
Hapa tunazungumzia ushirikiano wa China na Afrika.
Unaandika maneno meengiii point sifuri.
Narudia kusema hakuna mtu asiyejua kama China ina washirika wanaomnufaisha kwa ukubwa kuliko Afrika,ila hio haizuii kusema kuwa China haina marafiki Afrika.
I doubt your level of education kijana.
Huna hoja maana unazunguka mbuyu.
Kama unataka mjadala uendelee turudi pale pale panapozungumzia ushirikiano wa China kwa Kenya na Tanzania.
Hujielewi na nina mashaka na elimu yako kichwani.🤣 🤣 🤣
Wewe husaidiki. Wacha nikuache.
Mwambie Kipchoge is the only person from East Africa that is followed by Christiano Ronaldo on social media 😂😂Kwa hivo Hersi ndio mwenye club zote za mpira bongo? Kwa hivo bila Hersi hakuna mpira bongo?🤣🤣🤣
Kupiga picha hata wewe ukienda kuangalia mpira PSG unaweza tafuta hao mastaa ukapiga picha nao ila kuwekwa kwa page yao uitwe Legend hamna Mtanzania hata mmoja anaweza hilo. Hata Rais wenu hawezi.
Wacha ujinga. Next utasema Hersi amemshinda Ronaldo?
Una akili ya kitoto sana. Never mention kipchoge the legend na huyo Hersi. The respect alone that that name brings to Africa is bigger than the whole football industry of bongoland. Kipchoge name is bigger than the whole Simba club, leave alone Hersi. Ukitaja kipchoge popote hapa ulimwenguni wanamjua, ukitaja Simba wanajua ni yule wa Lion King.🤣
Huwa huachi kupotosha aisee.Kwanza wacha nikukosoe kidogo.
Talanta haijengwi na Mchina.
GTC ni private investment. Private investment inahusikanaje na mkopo wa serikali?
Expressway ni PPP project ambayo hata wewe unaweza nunua bonds na ukapata faida alafu ni mradi uliotekelezwa vizuri.
Main point.
Ninamaanisha munashangilia ujinga kisa, Africa inapoteza pesa nyingi kwa corruption and wastage alafu marais wanaenda wanakopa nje tena wanakuja wanaharibu hizo pesa. Cha kushangaza mnashangilia kisa Rais wenu amesalimiana na Rais wa China wakati Mchina wa kawaida haoni cha maana hapo. Ndio maana tunabebwa ufala na nchi zingine maanake tunapeana vibes za kuwaabudu vile. Ukitazama nchi za Africa nyingi zina pesa na mali ya kujitosheleza ila kila siku tunakopa na kuharibu hizo pesa. Imagine babako aende akope anywe pombe nyinyi wote mlipe tena aende kukopa alafu mshangilie kisa amepewa loan?
Kuwa followed na CR7 kuna impact gani kwa Kenya!??Mwambie Kipchoge is the only person from East Africa that is followed by Christiano Ronaldo on social media 😂😂
Shida yako huwa kuangukia tu mijadala bila kuelewa inakotoka. Humu humu mjadala umeanza mkijisifia jinsi Rais wenu alivyopokelewa China. Rudi nyuma uelewa mjadala ulikotoka ndio uje tujadiliane.Huwa huachi kupotosha aisee.
Nani kakwambia sisi tumefurahia Samia kusalimiana na Rais Jinping?
Tulichofurahia sisi mkataba wa kurekebisha na kuboresha reli ya TAZARA utasainiwa na kufanikiwa.
Na tulichokifurahia zaidi ni uendelezaji wa urafiki baina ya Tanzania na China.
Kuna miradi mingi ya maana ya kunufaisha raia kuliko huo hapa Tanzania kupitia hao hao China.Haval Kenya launches three new models in Kenya. Kosugi Bongoslum kuna Haval dealership au wachina hawawatambui?🤣🤣🤣
![]()
![]()
![]()
Wikipedia hata mimi naezaandika.Mie huwa kubishana USENGE siwezagi.
View attachment 3086680View attachment 3086681View attachment 3086685
Nimeshaleta ushahidi tofauti na huo nenda kasome.Wikipedia hata mimi naezaandika.
Mkuu faida anayopata China kwa uhusiano wake na Tanzania haina uhusiano wowote na GDP ya Tanzania, kwani hujui kwamba Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi duniani? Basi hicho ndicho kitu kinachofanya Tanzania kuwa mshirika mkubwa wa China na hili halihitaji maelezo mengi hata wewe mwenyewe unajua hilo.Unalinganisha Murkomen, waziri, na Samia, Rais?🤣🤣
Ndio maana nimewaambia mko chini sana kifikra. Mbona wachina hawasherehekei? Yani mnajiona msio na maana mbele ya Mchina hadi Rais wenu akisalimia Rais wa China mnasherehekea wakati the average Chinese hana habari? Mnalazimisha urafiki wa karibu na China wakati Kila mtu anajua ndovu anaweza onea panya huruma ila hawezi kuwa na urafiki naye? 🤣 Yani kinchi chenu GDP hata haifikii ya mji number 100 China?🤣🤣 Mna kipi Cha kusaidia China ndio wawe marafiki wenu? The average Chinese doesn't even know a country named Tanzania exists.🤣🤣 Unanikumbusha pale high school mwenzetu Mjomba wake ni tajiri anaishi Marekani, Kila siku anasema Mjomba wangu Mjomba wangu akajiaminisha akimaliza masoma ya upili anaenda kwa mjombake Marekani, jamaa sahii amechapa utampata sokoni akibebea watu mizigo. Huyo Mjomba wake hata hamjui.🤣🤣
Huyo ako na certificate ya kupea watoto chanjo, yeye ni wale watu hutembea kwa estates na speakers wakitangazia chanjo za polio😂😂🤣😂So Wikipedia page ya China-Tanzania relations ndio proof yako? Hivi hujui Kila nchi inayo? Umefika level Gani kimasomo bradhee?🤣🤣
Kumbe ndo huna aibu umeleta dealership Mimi nimekuletea assembly plant ya Chinese product. Kuna kongani ya viwanda vingi sana vinajengwa na soon mtaanza kuviona dealership tumewaachia nyinyi maana hata tukikuuliza mmeuza ngapi toka muanze kuwa madealer hata 2000 havifiki.Hii ndio dealership ya Haval? 🤣 🤣 🤣 Unatuonyesha assembly ya trucks kitu tumezoea kuona Kenya. Huna hata aibu. 🤣🤣
Mkuu faida anayopata China kwa uhusiano wake na Tanzania haina uhusiano wowote na GDP ya Tanzania, kwani hujui kwamba Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi duniani? Basi hicho ndicho kitu kinachofanya Tanzania kuwa mshirika mkubwa wa China na hili halihitaji maelezo mengi hata wewe mwenyewe unajua hilo.
Do you know the meaning of a cemetery? So you wanted those 60 Chinese prisoners to be returned back to China to be buried there?Yaani Tanzania isiwe na history na China kwa yote haya yaliotokea, Kunyaland ndio iwe nayo? 😂😂😂
View attachment 3086705
Sema tu hakuna Haval dealership in bongoslum, wacha kutapatapa. Munategemea wawekezaji wa serikali kwa asilimia 90%.Kuna miradi mingi ya maana ya kunufaisha raia kuliko huo hapa Tanzania kupitia hao hao China.
Kuna ubaya gani kutegemea wawekezaji wa serikali!??Sema tu hakuna Haval dealership in bongoslum, wacha kutapatapa. Munategemea wawekezaji wa serikali kwa asilimia 90%.
Tofauti na TAZARA ni investment gani ya maana mchina kafanya Tanzania? Imagine after kununua mabasi Yao kwa wengi they are still coming to assemble those buses in Kenya.Lete takwimu hapa.
We were discussing about fame. Ama ni vile umepata Kipchoge anajulikana sana sasa unataka kubadilisha mada?Kuwa followed na CR7 kuna impact gani kwa Kenya!??
Ona hii mbusi.
Ila hii nchi laana haitoacha kutafuna
View: https://x.com/ntvkenya/status/1831038455385661919?t=VRFZIjwGgr0qvk5mZBSIxA&s=19