Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwaambia tukiingia hapo tunatoka na TAZARA sio BLAH BLAH za kiwaki na picha za kuzugia.

Ukigusia TAZARA unagusia First China Africa relation ambayo mfunguzi ni Tanzania
Sasa bwana yule aliwahi mapema China kufanya nini na mpaka sasa ameshaweka nini kibindoni? 🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana nimesema akili zenu baado. Sijasema Mchina ni mbaya, nimesema viongozi wetu (Africa) ndio wabaya.
Miradi ipi wakati mpo LDC? Kenyatta alisema ukweli aliposema nyinyi ni maiti, hata mpigwe viboko hamuwezi amka mkapigania rights zenu. Kila siku mnaimbia siisiiemu nyimbo za sifa.😂😂
Duh! Kunywa maji naona unawehuka alafu weka memory card huenda ukakumbuka.
 
Kundustan ni snitch wa USA ko wanaishi nae Kwa machale 😂😂
Ni ajabu liinchi juzi lilikua linafurahi kupewa NON NATO ALLY status leo linategemea China alifanyie kitu wakati NATO wapo kuleta Chokochoko kule South China Sea?

Na wakikosa wanaanda maneno ya sizitaki mbichi.

NON NATO ALLY yupo na stalled roads projects (I bet Mombasa Nairobi Highway ipo) ambayo Baba yao USA alitoa pesa leo wapo China kukopa (Serious hizo sio tabia za Kimalaya)
 
Unaongelea less than 2,000 while Isuzu alone has assembled more than 100,000 trucks😂😂🤣👇👇

View attachment 3086844
Toka lini
Faw, Howo, Mercedes, Volvo, Scania, Isuzu, Hino, Fuso, Hyundai, Leyland, Dongfeng, Tata, Foton, Renault, Eicher, Shacman, JAC, Beiben, Man, UD.

Hizi zote zinakua assembled in Kenya, ebu tuambie ni ngapi gani kwa hio list zinakua assembled in bongos

Sijaelewa hapo kwenye red
Wewe tuko pamoja kaka nasubiri mtu aje aseme kauza kiasi gani
 
Tofauti na TAZARA ni investment gani ya maana mchina kafanya Tanzania? Imagine after kununua mabasi Yao kwa wengi they are still coming to assemble those buses in Kenya.
Urafiki textile friendship
Confucius centre UDSM, Mwalimu nyerere leadership school, SINOTASHIP, 1800km Tazara railway, East African commercial and logistic centre, Naval force upgrade miradi ni mingi sana.
 
Urafiki textile friendship
Confucius centre UDSM, Mwalimu nyerere leadership school, SINOTASHIP, 1800km Tazara railway, East African commercial and logistic centre, Naval force upgrade miradi ni mingi sana.
Hata hizifiki six😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom