Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gado doing Gado things. 🤣 🤣 🤣

Image
 
Hizo unazoziita simping song ndio zina hit Afrika nzima hadi Ulaya.
Embu nioneshe hit yeyote ya Ukunya inayohit kama Komasava.
Au inayohit kama yope.
Ingekuwa inahit Africa nzima wangekuwa na 500+M views, show me any Bongo song with that views😂😂🤣.
 
Ingekuwa inahit Africa nzima wangekuwa na 500+M views, show me any Bongo song with that views😂😂🤣.
Ona hii mbusi.
Kwahiyo kitu kihit hadi kiwe na viewers hao youtube??
Kama haija hit kwanini Paris walimuita akafanye show!?
Kama haijahit Jason Derulo ameijuaje na akataka afanye nae remix!?
Nyimbo hadi bar za France Paris inapigwa komasava wewe unasema haijahit!??
 
Unataka nikuje tanzania hili mniroge?😂😂🤣😂

Rais Magufuli azindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta ya URSUS​

Prev
Next
[IMG alt="jogi"]https://www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org/i/s/www.jamiiforums.com/data/avatars/m/26/26923.jpg?1505370244[/IMG]

jogi

JF-Expert Member​

Hiki si kilikuwaga kiwanda cha kuunganishia magari ya Scania?

[IMG alt="Njilembera"]https://www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org/i/s/www.jamiiforums.com/data/avatars/m/10/10642.jpg?1361042913[/IMG]

Njilembera

JF-Expert Member​

kwa uzinduzi tu wako poa
Ingekuwa vizuri kusema Amezindua Ufufuaji wa TAMCO. TAMCO ilikuwa ikiunga Scania na ikisaidiana na Kampuni yake nyingne Valmet kule Pugu Road ikitengeneza matrekta wakati wa Nyerere! Kilichotakiwa ni kukifilisi kwa namna ya ajabu kabisa na sasa tunakifufua.

S

singojr

JF-Expert Member​

hiyo kijani hapo ni Mr Taratibu au?

A

Adili

JF-Expert Member​

Loading video

View attachment 528159
Rais Magufuli akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Uunganishaji matrekta eneo la TAMCO, Kibaha Mkoani Pwani.

View attachment 528158 Rais Magufuli akiwahutubia Wananchi wa Kibaha mara baada ya kufanya uzinduzi wa matrekta eneo la TAMCO Kibaha Mkoani Pwani.

View attachment 528160
Rais Magufuli akizindua matrekta ya URSUS yanayounganishwa katika Kiwanda cha TAMCO Kibaha, Mkoani Pwani.

View attachment 528161
Rais Magufuli akiwasha trekta mara baada ya kuyazindua katika Kiwanda cha TAMCO Kibaha, Mkoani Pwani 21/06/2017.

=====
"Kiwanda ni kikubwa na kinatoa nondo ambazo zinaweza kujenga daraja lolote Tanzania au Ulaya" - Rais Dkt. Magufuli.

"Tanzania tuna chuma, kwa nini tuagize chuma kutoka Brazil au China," - Rais Dkt. Magufuli.

wawekezaji watafute njia ya kutumia chuma cha Tanzania badala ya kuagiza nje ya nchi," - Rais Dkt. Magufuli.

Ajira zianze kwanza kwa vijana wa Mkoa wa Pwani'', - Rais Dkt. Magufuli

"Tunampango wa kujenga barabara kubwa ya lami ya njia sita kutoka Dar mpaka Chalinze," - Rais Magufuli.

Tuvilinde viwanda vyetu, tuilinde amani ya Tanzania na tuchape kazi," - Rais Magufuli.

"Kujenga viwanda ni jambo moja na kulinda viwanda ni jambo la pili ambalo ni muhimu," - Charles Mwijage.

"Mhe. Rais anataka tuwekeze kwenye viwanda ili vijana wa Kitanzania wapate ajira," - Charles Mwijage.
Click to expand...
Na mimi je?
screenshot-from-2017-06-21-14-17-49-png.528159

[IMG alt="nygax"]https://www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org/i/s/www.jamiiforums.com/data/avatars/m/437/437055.jpg?1496651881[/IMG]

nygax

JF-Expert Member​

Jamani viwanda si ndiyo hivi sasa! au mpaka tujenge vya ndege ndo tuamini!

[IMG alt="kirumonjeta"]https://www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org/i/s/www.jamiiforums.com/data/avatars/m/9/9217.jpg?1479304919[/IMG]

kirumonjeta

JF-Expert Member​

namwona polepole duh siasa hizi lazima ujitoe ufaham
Yaani njaa mbaya sana,mi nikajua kibabu gani sijui

[IMG alt="mputamaseko"]https://www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org/i/s/www.jamiiforums.com/data/avatars/m/134/134269.jpg?1385144982[/IMG]

mputamaseko

JF-Expert Member​

Press releases - URSUS CONQUERS AFRICA - DESTINATION TANZANIA - URSUS.COM

Hismastersvoice

JF-Expert Member​

Masikini TAMCO mungu atamsaidia, kwani kilipata stroki? Hiki kiwanda si kilikuwapo siku nyingi sasa nini kilitokea mpaka kikapoteza fahamu? Hata hivyo mungu mkuu kimezinduka.

A

Adili

JF-Expert Member​

Ingekuwa vizuri kusema Amezindua Ufufuaji wa TAMCO. TAMCO ilikuwa ikiunga Scania na ikisaidiana na Kampuni yake nyingne Valmet kule Pugu Road ikitengeneza matrekta wakati wa Nyerere! Kilichotakiwa ni kukifilisi kwa namna ya ajabu kabisa na sasa tunakifufua.
Click to expand...
Valmet (tractors) kutoka Finland ndio walikuja na wazo la kuunda tractors, extension ilikuwa - kwa nini jirani Scania(Sweden) asiundie malori yake hapo pia. Yaliyojiri ni hadithi ndefu (State motors etc)
Ukitaka kujua Scania siku hizi ulizia hapa +254722203813/+254719722642

P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member​

Huu uzi wachangiaji sio wengi sana kwa sababu ni jambo positive kwenye uchumi wa nchi, lakini lingekuwa ni jambo negative sasa hivi tungekuwa kwenye ukurasa wa 35.

Reactions:Differential and G4rpolitics

Blank page

JF-Expert Member​

Na mimi je?
namuona wazir...hapo kajibanaaa,

barafuyamoto

JF-Expert Member​

Haya matrekta si yanakuwa assembled na JKT pale Mwenge toka kitambo, au wamefungua sehemu nyingine tena??

A

Adili

JF-Expert Member​

Loading video

View attachment 528159
Rais Magufuli akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Uunganishaji matrekta eneo la TAMCO, Kibaha Mkoani Pwani.

View attachment 528158 Rais Magufuli akiwahutubia Wananchi wa Kibaha mara baada ya kufanya uzinduzi wa matrekta eneo la TAMCO Kibaha Mkoani Pwani.

View attachment 528160
Rais Magufuli akizindua matrekta ya URSUS yanayounganishwa katika Kiwanda cha TAMCO Kibaha, Mkoani Pwani.

View attachment 528161
Rais Magufuli akiwasha trekta mara baada ya kuyazindua katika Kiwanda cha TAMCO Kibaha, Mkoani Pwani 21/06/2017.

=====
"Kiwanda ni kikubwa na kinatoa nondo ambazo zinaweza kujenga daraja lolote Tanzania au Ulaya" - Rais Dkt. Magufuli.

"Tanzania tuna chuma, kwa nini tuagize chuma kutoka Brazil au China," - Rais Dkt. Magufuli.

wawekezaji watafute njia ya kutumia chuma cha Tanzania badala ya kuagiza nje ya nchi," - Rais Dkt. Magufuli.

Ajira zianze kwanza kwa vijana wa Mkoa wa Pwani'', - Rais Dkt. Magufuli

"Tunampango wa kujenga barabara kubwa ya lami ya njia sita kutoka Dar mpaka Chalinze," - Rais Magufuli.

Tuvilinde viwanda vyetu, tuilinde amani ya Tanzania na tuchape kazi," - Rais Magufuli.

"Kujenga viwanda ni jambo moja na kulinda viwanda ni jambo la pili ambalo ni muhimu," - Charles Mwijage.

"Mhe. Rais anataka tuwekeze kwenye viwanda ili vijana wa Kitanzania wapate ajira," - Charles Mwijage.
Click to expand...
Na siyo vibaya kupitia hapa Ursus Factory - Wikipedia kupata historia ya Ursus

mogulnoise

JF-Expert Member​

Serekali ya kiki za bajaji hapo tamko tangu enzi ya JK wanaasemble matrekta juzi tu Majaliwa kapita hapo kazindua leo JPM kazindua watakaa mwezi wataona tumesahau waziri wa viwanda atapita kuzindua

Bavaria

JF-Expert Member​

Mbona kila siku wanazindua viwanda vilevile?
Waziri mkuu alizindua nini?

Bavaria

JF-Expert Member​

Serekali ya kiki za bajaji hapo tamko tangu enzi ya JK wanaasemble matrekta juzi tu Majaliwa kapita hapo kazindua leo JPM kazindua watakaa mwezi wataona tumesahau waziri wa viwanda atapita kuzindua
Wameshaona watanzania mazuzu sana.

Mkaruka

JF-Expert Member​

Huu uzi wachangiaji sio wengi sana kwa sababu ni jambo positive kwenye uchumi wa nchi, lakini lingekuwa ni jambo negative sasa hivi tungekuwa kwenye ukurasa wa 35.
Humu wengi ni TEAM MAMVI, wanaombea mabaya tu. Ingekuwa taarifa mbaya ungeona povu hilo

Reactions:Phillipo Bukililo
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member​

Humu wengi ni TEAM MAMVI, wanaombea mabaya tu. Ingekuwa taarifa mbaya ungeona povu hilo
Manabii wa majanga wamejaa humu. Wao wanasubiri habari za kashfa ziibuke wapate nafasi ya kukejeli, kutukana, kusimanga na maneno meengi ya kitoto na kijinga.

Reactions:Mkaruka

Bams

JF-Expert Member​

JPM katika ubora wake
P887pp

sblandes

JF-Expert Member​

Awamu ijayo vitengenezwe viwanda vya kuzalisha malighafi ya kuvilisha viwanda hivi.
Tufue chuma ndio tutaitwa nchi ya viwanda bila hilo hatujaingia kwenye kundi hilo.

Prev
Next
You must log in or register to reply here.

Similar Discussions​

Share:
FacebookTwitterRedditWhatsAppEmail
Cookies ar
 
Back
Top Bottom