Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko ready tupost picha? Mimi nitakupostia nikiwa Europe na Marekani, wewe nataka tu ukiwa nje ya Tanzania, hata kama ni Burundi bora tu nje ya Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata Burundi pekee hajafika na kila siku anapingana humu? Mtu anabisha kila kitu na hajakanyaga nje ya nchi yake? 🀣 🀣
 
Non performing loans kwa real estate sector imeongezeka in the past three months.
 
Hata Burundi pekee hajafika na kila siku anapingana humu? Mtu anabisha kila kitu na hajakanyaga nje ya nchi yake? 🀣 🀣
Ukimuona akisema Wakenya wapo Tanzania maana hajuikuna Wabongo wangapi Kenya. Halafu hajui Wakenya wengi Tanzania wanaenda kuzuru na kufanya kazi za maana, wao huku ni Wafanyakazi wa nyumbani na ombaomba wamejazana. Hivi hata anajua kuna Watanzania wengi Kenya kuliko Wakenya walio Tanzania? Hapo juu anadhani Tanzania ndio the biggest destination ya Kenya yet kiuhalisia Wakenya hawaendi nchi za East Africa sana na nchi wayaoenda kwa sana ni Uganda, sio Tanzania. Cha kushangaza, hata Mozambique ina Wakenya wengi kuliko Watanzania. Nakwambia kutosafiri ni majanga. 🀣 🀣 🀣

 
Sasa umeuliza Mtanzania akakujibu Tanzania alafu unajipiga kifua? Yani ni kama umuulize shabiki wa Simba kati ya Simba na Yanga gani kali, akishaajibu simba uanze kufurahia kisa wewe ni shabiki wa Simba pia. Yani Wabongo mnachekesha. πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo wewe kwa akili zako unaamini kabisaaa Kenya itaandaa Afcon, tusiongelee habari za opening and closing vitu ambavyo ni obvious kila mtu anajua, nakuuliza unaamini Kenya itaandaa Afcon?
 
Yani ni vichekesho bro alaf mbaya zaidi gari ni ghali kuliko probox kwann probox isiue kiwanda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnuka mavi yupo mafichoni anaandaa articles ya kuja kukuambia haija shut down bali wameongeza branch in Congo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Halafu hiyo mitaa yao ni ya 'kifahari' in quotes otherwise kiuhalisia hakuna mtaa hapo ambao unaweza linganishwa na Karen. Labda Oysterbay na Masaki kidogo zitajaribu ila bado hazifiki. Hii mitaa yao level zake ni Syokimau na Utawala. Mitaa yenyewe hata barabara ya lami ni less than 30% alafu unaitwa mtaa wa kifahari.
 
30% is being too optimistic. Hapo Mbezi lami haifiki 5%. Sasa hii Mbezi eti mtaa wa Kifahari unaolinganishwa na Karen. Wewe umeona hata barabara moja ya lami? Unakosea Syokimau na utawala heshima kuzilinganisha na huu upuzi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…