ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,392
- 164,036
una export sukari kwenda wapi?😆😆😆😆Hakuna basi linatengenezwa Kenya.
Leta ushahidi hapa. Huu ni mjadala wenye watu akili timamu
Huu siyo uzi wa machawa wala wakaza fuvu.
Punguza kutafuna mirungi, uwe na logic.
TZ ina-export SUKARI kwasasa.
Hili ya kuua viwanda unasema wewe.
Yaani kiwanda binafsi, kinauliwaje?
Kiwanda kipi?
Una illusions?
Punguza hii illusions ya uchawa.
Huu siyo uzi wake.
nikikwambia uchawa ni cancer ya taifa hili nakosea? hvi kweli mm nina haja ya kubishana na mtu kama wewe