Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walisema tumeiba picha za nchi zingine? Obviously they will not believe.😂😂😂👇👇

1721643622333-jpeg.3048724

View attachment 3048727
View attachment 3048730
So hii inachange anything ndugu Bomu la Machozi?
 
Where did you get that info ya bold?
Hata mimi nikamshangaa Matako huyo.
Bunge Dodoma lilianza miaka ya 1970s kwa kuanzia kumbi ya Pius Msekwa yeye anakwambia la kwanza 2017😭😂😂😂😂😂.
Halafu anakwambia anajua historia yetu kuliko sisi.
 
haha maendeleo yanapokuwa mbele watu nyuma, binafsi huwa najiuliza with all due respect kwa serikali yetu kujenga fast train ni jambo jema, lkn tumejiandaa na mambo negative yanayokuja na maendeleo, mfano ajali, treni inayokwenda 160 km/h iki crush ni maafa, je, tuna uwezo na vifaa vya ku pull majeruhi waliobanwa na vyuma na kuwapatia huduma? tuna hata hosptali iliyospecialize kwenye ajali nakumbuka Nyerere alijenga Hosp. ya Tumbi Kibaha kudili na majeruhi wa ajali sijui hali yake ikoje leo hii lkn vinginevyo ni jamabo jema ila pia lazima tujiandae kwa maafa yakitokea tutawasaidia vipi watu wetu au ndiyo wata bleed mpaka kifo?
Secondary ulisoma shule gani?
 
Ndio maana mko kwenye maandano na linchi lenu ni flat broke kwakua hampendi uhalisia. Hilo eneo idadi ya watu haufiki hata laki, ujenge stesheni kubwa kwa ajili ya nani na nini?

Mme leta coaches zaidi ya 18 kwa gharama kubwa kisa tu mkitaka kujifanya mko juu dhidi ya SGR yetu. Treni yenu abiria wenu7 wana lalama kuwa ni noisy na too slow na huchukua masaa zaidi ya sita. Sasa ni nani atapanda hizo coaches kwa gharama ya elf 12 ya Kenya na kukaa masaa 6 wakati ndege ni cheaper?
 
Kwa hiyo fare yao naenda DubaI na kurudi kwa ATCL 😁
 
Back
Top Bottom