chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
ππππππππ
Mchina apewe miiba yake
Mchina apewe miiba yake
Mshamba wewe hao ni warangi na wanyaturu wa Dodoma ukija bongo utatapeliwaKwa akili zako huyu unaweza kusema mwarabu.Ilhali huyo mrangi wa Kondoa Dodoma.
View attachment 3050276
ππππππππ
Mchina apewe miiba yake
View attachment 3050515View attachment 3050516
Jana ulienda eapoti kujiunga na wenzako? π€£π€£π€£kama bandari na brt π¬π¬
#Rutomustgokama bandari na brt π¬π¬
Hawa kazi yao itakuwa kufanya usafi wakubwa wakichafuaMbona hawajanunua wagons hizo kutoka kwa memba wenzao wa NATO!?
Hiyo block si wanatakiwa kufanya biashara pamoja na kushirikiana!?
kwani hiyo ramp ni bei gani?
na manjonjo ya vile viti locomotives ni haya mabichwa?ππππππππ
Mchina apewe miiba yake
View attachment 3050515View attachment 3050516
Wana hata cent ya kununua hata spare ya bulb? π π π Mchina ndio baba ndio mama na terms za project hata cement ilikua must be imported from China π π usisahau workers walikua wanachapwa viboko na mchina wakichelewa kaziniMbona hawajanunua wagons hizo kutoka kwa memba wenzao wa NATO!?
Hiyo block si wanatakiwa kufanya biashara pamoja na kushirikiana!?
Walikua wanaficha hizi pictures kama bangi πππna manjonjo ya vile viti locomotives ni haya mabichwa?
Huyo mwandishi lazima ni Ama mkenya au Mtzanzia
Kwa hisani ya Mdhamini sportpesa eeh?Gor and Karionangi have played with Everton and Hull Cityπ