Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kama hupendi nenda kalalamike mimi sitakusaidia.Umesema TBT ukimaanisha hazitumiki tena au ww unafkiri mchina ni mwendawazimu kama nyinyi 😅😅😅😅😅
Kama hupendi nenda kalalamike mimi sitakusaidia.Umesema TBT ukimaanisha hazitumiki tena au ww unafkiri mchina ni mwendawazimu kama nyinyi 😅😅😅😅😅
Bora kwenu?😂😂🤣🤣Hata msemeje kwasasa inatambulika kuwa Tanzania ina reli bora ya SGR na locomotives bora ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.
Haya funga haraka sana 😅😅😅😅Ukileta evidence mtu akilalamika kuhusu noise na kutikisika kwa treni ya kenya naondoke jf
Treni ina mambo yaki dwanzi sana.
Haya funga haraka sana 😅😅😅😅
View: https://x.com/scentor/status/1767306778130141274?t=zj2twdRvEwDPMRUxGtWVDQ&s=19
Funga ACC haraka 😅😅😅😅Simuoni ndani ya sgr ya kenya
Mshasema sgr railway yetu ikifika km 200 mtaondoka jf but still mpo hapa,halafu kikuyu na kalenjini leo mko road na nyinyi kumsapoti ruto,sie tunawachora tu mkianza kimungikiana mtafikia refugees camp kama tulivyowaweka wacongo,burundi na warwanda,amtopata chance ya kujichanganya na sisi mitaaniUkileta evidence mtu akilalamika kuhusu noise na kutikisika kwa treni ya kenya naondoke jf
Taratibu zipo za kuingizwa kiwete.
Haya sasa mpe mama simu niongee nae.Mshasema sgr railway yetu ikifika km 200 mtaondoka jf but still mpo hapa,halafu kikuyu na kalenjini leo mko road na nyinyi kumsapoti ruto,sie tunawachora tu mkianza kimungikiana mtafikia refugees camp kama tulivyowaweka wacongo,burundi na warwanda,amtopata chance ya kujichanganya na sisi mitaani
Ebu tuonyeshe hao viwete wanaingia vipi.Taratibu zipo za kuingizwa kiwete.
Hata NGR iko kama hivyo na viwete wanaingia.
Kuna vifaa vya kuweka hapo kama itaonekana kuna kiwete.
Alafu mbona mjenge shade bonoko kama hii?🤣🤣😂😂Taratibu zipo za kuingizwa kiwete.
Hata NGR iko kama hivyo na viwete wanaingia.
Kuna vifaa vya kuweka hapo kama itaonekana kuna kiwete.
kuna ramp! isitoshe
Poor workmanship.Alafu mbona mjenge shade bonoko kama hii?🤣🤣😂😂
Unashuka tu hivi unanyeshewa na mvua. See the distance between the edge of the shade and the train door😂😂🤣👇👇
View attachment 3050215
Kuna watu wakuwasukuma kwenye ramp ama mpaka mhisanikuna ramp!
Kutwa wako tiktok wakililia SGR ya Tanzania🤣
View: https://x.com/RashdaZunde/status/1810239882440196558?t=Rqi5X4PB7J70zo9ujRtGpA&s=19
Sikiliza mkenya mwenzako akilia SGR ya TZ 🤣Rasha shonde ndo nani??
Wapi ramp hapa? Huyo jamaa ameruka ndio akaingia ndani😂😂😂kuna ramp!