ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Nyang'au watakuambia imejengwa na wakenya ha ha ha😎
Huyo ni thick head unapoteza energy yako bure tuu.When you evaluate a function from -ve infinity to +ve infinity with respect to z in a complex plane, infinity is a value of z to that limit even though by itself, is just an expression of how big a number is.
Mnapenda kujitekenya mkicheka wenyewe.Hatunaga makuu siye upande ule ungeskia "Internationale Green Terminus"!
Hajui kwamba kati ya 2 na 3 kuna mamilioni ya namba ambazo huwezi kuhesabu, wakenya wengi hawajui hesabu wasamehe bure.Nilikuwa sijaiona hii, kazi ipo hapa... hivi unaelewa kuwa real numbers zinaanzia negative infinity to positive infinity na katika hizo kuna rational na irrational numbers. Na kwa kuongeza tuu, at any instant in a number line, kati ya real number moja na nyingine, let say 2 and 3 kuna infinite real numbers? Sasa unaposema "infinity is not a value" unamaanisha nini?
Duuhh alooo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣It’s an idea.
Hivi nyie nyangau ni lugha gani mnaweza kuongea? Lugha ya mkoloni shida swahili shida au kilugha ndio mnaweza.Designers don’t built. They only design and then give instructions to be followed by civil and electrical engineers.
K&M which is the Kenyan company is the brain behind TPA Tower, Dodoma Parliament and Rock City Mall.
Waongee kwa lugha yao ya asili tuu sio kwa ugoko design hii 🤣🤣🤣🤣Ha ha ha😎
Hii station mturuki alituliza kichwa
Nitafurahi Serikali ikifuta ule mradi wa kuchotea pesa wa kuipamba Nairobi Kwa kutumia pesa zetu za nsssfSisi hatucheki na nyani kama jirani. Sio mpaka tuandamane ndio yafanyike mabadiliko ukikosea kdg tuu unatupisha.
Ukiwepa latest photos yamejaa vumbi na tope kama la Mombasa na Nairobi ndio yamechakaa kila kitu kimefadeoutMnapenda kujitekenya mkicheka wenyewe.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja nyangau wakusikie wataandamana hapa 🤣🤣🤣Nitafurahi Serikali ikifuta ule mradi wa kuchotea pesa wa kuipamba Nairobi Kwa kutumia pesa zetu za nsssf
Weka na ya sgr Dar Uvinza Gitenga Burundi na Kindu DRC
RIP Magufuli 🇹🇿🇹🇿🔥🔥❤️❤️😘😘😍
Final touches 😍😍