Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gor mahia ishacheza na timu za EPL wachana hizo farmers league
Fala wewe bundesliga ni farmers league!?
Aya unazungumziaje suala la Simba kucheza na Sevilla?
Timu ambayo iko juu kitakwimu zaidi ya Hull city na Everton!??
Usisahau LALIGA ndio ligi bora ya kwanza duniani ikifuatiwa na EPL.
 
Bundesliga ni league ya timu moja ambayo ni Bayern Munich na pengine Dortmund. Lakini sasa vitu kama Augsburg naiskia leo
Kama ausberg huijui basi ww sio MTU wa mpira kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣

Ungemsikiza mkenya mwenzio nn anasema ndio ungenielewa point yangu
 
Bundesliga ni league ya timu moja ambayo ni Bayern Munich na pengine Dortmund. Lakini sasa vitu kama Augsburg naiskia leo
Hufuatilii mpira kima wewe.
Aliyechukua ubingwa Bundesliga msimu uliosha ni BAYER LEVERKUSEN.
Kuna Schalke 04,kuna Borrusia Monchengladbach zote hizo ni timu zenye historia yake kisoka.
 
haha maendeleo yanapokuwa mbele watu nyuma, binafsi huwa najiuliza with all due respect kwa serikali yetu kujenga fast train ni jambo jema, lkn tumejiandaa na mambo negative yanayokuja na maendeleo, mfano ajali, treni inayokwenda 160 km/h iki crush ni maafa, je, tuna uwezo na vifaa vya ku pull majeruhi waliobanwa na vyuma na kuwapatia huduma? tuna hata hosptali iliyospecialize kwenye ajali nakumbuka Nyerere alijenga Hosp. ya Tumbi Kibaha kudili na majeruhi wa ajali sijui hali yake ikoje leo hii lkn vinginevyo ni jamabo jema ila pia lazima tujiandae kwa maafa yakitokea tutawasaidia vipi watu wetu au ndiyo wata bleed mpaka kifo?
Mwenye jicho haambiwi tazama.
 
Watu wanaruka mitaro 😂😂🤣🤣👇👇

View attachment 3050323
Hiyo ni treni level hii, sisi tuna varieties of wagons!
Screenshot 2024-07-23 213227.png

View: https://youtu.be/mhFplJQgRPo?si=zCYc3bo0U4fwdYpu

VS

1721755323227-jpeg.3050323

Angalia ramps chini ya ngazi! na isitoshe kuna behewa maalum kwa ajili yaa wenye wheelchairs! Angalia hiyo alama ya wheelchair ya blue, mlango wa hilo behewa ni tofauti! hatukukurupuka sie all provisions r there!
img_0392-jpeg.3050215

Halafu kuna wagons hizi specifically kwa ajili ya wenye wheelchairs!
Screenshot 2024-07-23 214718.png

View: https://youtu.be/qqC6eOT-NQs?si=pHbTzQ4aGNIWSeSq

View: https://youtu.be/rvLNqZ4o0D4?si=U8XbaLXXJ7JdprIB

Sasa mimi naku-challenge unionyeshe sehemu ya kukaa mwenye wheel chair ndani ya treni yenu ya Mchina!
 
Hiyo ni treni level hii, sisi tuna varieties of wagons!
View attachment 3050415

View: https://youtu.be/mhFplJQgRPo?si=zCYc3bo0U4fwdYpu

VS

1721755323227-jpeg.3050323

Angalia ramps chini a ngazi!

Halafu kuna wagons hizi kwa ajili ya wenye wheel chairs!
View attachment 3050436

View: https://youtu.be/qqC6eOT-NQs?si=pHbTzQ4aGNIWSeSq

View: https://youtu.be/rvLNqZ4o0D4?si=U8XbaLXXJ7JdprIB

Sasa mimi naku-challenge unionyeshe sehemu ya kukaa mwenye wheel chair ndani ya treni yenu ya Mchina!

But Nyinyi Hamna ramps😂😂
 
Back
Top Bottom