Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mshamba wewe hao ni warangi na wanyaturu wa Dodoma ukija bongo utatapeliwa
Mkuu umesoma kilichoandikwa kiufasaha!?
Au unakurupuka kusoma!?
Hizo picha nimeleta mimi nikimuonesha kuwa hao ni Warangi ama wanyaturu.
Nashangaa imani attack mimi😂😂😂😂.Nina mke mnyaturu nisijue wanyaturu walivyo!?
 
What a view🤗🤗🤗
7-16-1024x678.jpg
UONEKANO-1024x683.jpg
 
Nyie wakunya mnaona ligi inavyokuwa promoted lakini? Football is money weka hela upate hela usitegemee watu watajaa uwanjani tuu lazima ifanyike promotion ya nguvu.
 
Mkuu umesoma kilichoandikwa kiufasaha!?
Au unakurupuka kusoma!?
Hizo picha nimeleta mimi nikimuonesha kuwa hao ni Warangi ama wanyaturu.
Nashangaa imani attack mimi😂😂😂😂.Nina mke mnyaturu nisijue wanyaturu walivyo!?
Mkuu nimekuquote vibaya ilikuwa niquote yule nyang'au
 
Juu ya hicho kijengo cha gorofa sita ama? 🤣 🤣 🤣
Ishu sio jengo ishu ni mazingira yanayozunguka hilo jengo, ni typical Ulaya kabisa, hakuna environment kama hiyo hapa East and central Africa. Na sio hapo tu, Dodoma ina sehemu nyingi zinakaa Europe, au nikuletee? Au unajisahaulisha?
Screenshot_20240724-060718.jpg
 
Ishu sio jengo ishu ni mazingira yanayozunguka hilo jengo, ni typical Ulaya kabisa, hakuna environment kama hiyo hapa East and central Africa. Na sio hapo tu, Dodoma ina sehemu nyingi zinakaa Europe, au nikuletee? Au unajisahaulisha?View attachment 3050675
Dodoma ita attract foreigners wengi to reside in kwasababu ya Hali ya hewa yake ya kuwa baridi
 
Back
Top Bottom