Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kubali tu kwamba Tanzania is pathetic. As for cooking it’s only Tanzania that is known for cooking their figures😂😂👇👇👇

AMA unadhni mkizoea kupika data zenu basi kila nchi inapika?😂👇👇
View attachment 3050028
Ninakataa Tanzania kupika takwimu kwasababu zifuatazo;
-Tunafanya miradi mikubwa kuliko Kenya.
-Tumefanya miradi mingi kipindi cha Magufuli kwa pesa za ndani,kitu ambacho Kenya hamjawahi,hamuwahi na hamtowahi kufanya.
-Hutosikia mishahara ikichelewa ya watumishi wa umma au kupitiliza muda wa kulipwa.
-Hatuna tozo za kupitiliza hadi katika unga wa ugali kama Kenya.
-Tuna akiba ya kigeni kubwa kuliko hata Kenya.
-Huduma za kijamii toshelezi hasa za afya.Ndio maana HUSIKII TANZANIA IKIISHIWA DAWA ZA TB KAMA KENYA.

Yanayofanyika Tanzania yanafanyika kwa fedha za serikali nchi inajengwa kwa fedha za serikali kitu ambacho Kenya hukioni MILELE DAIMA.
-Ndio maana hutuoni tukiingia kwa barabara kuandamana kisa ugali.
Nchi inayopika data ni Kenya.
 
Ripoti ya 2020 na mbona mpaka sasa uchumi wa Tanzania una nguvu! Nani Ana Budget deficit Kubwa Kati ya Tanzania na UKUNYA? Nani anaandamana?
 
Ripoti ya 2020 na mbona mpaka sasa uchumi una nguvu! Nani Ana Budget deficit Kubwa Kati ya Tanzania na UKUNYA? Nani anaandamana?
Kaka hata ikiwa ripoti ya 2020 ila tunajua kwanini hapa Africa kanda na nchi nyingi ziliumia kiasi ya kutoa habari za uongo.
-Tanzania ilionesha kupiga hatua kubwa huku ikichukua mikopo kidogo kuliko mataifa mengine Africa ikiwemo Kenya.Lazima wang'ake TZ uwezo anatoa wapi!?
Embu fikiria ujenzi wa miradi kama
-Daraja la tanzanite
-Daraja la Kigogo Busisi
-Mradi wa mwendo kasi
-JNHPP power project.
-Ununuzi wa ndege kufufua ATCL.
-Ufufuaji wa reli ya TRC kwa kuitandua reli ya Mjerumani na kutandika reli ya mpya tena continous welded.
-Ujenzi wa SGR na treni za umeme.
-Uzinduaji wa meli Mathalan meli ya Ziwa Victoria.
Sasa ukitizama hii miradi imeonekana ni kitu impossible kwa nchi kama Tanzania,MPAKA DUNIA INAISHA nchi kama Kenya kufanya miradi mikubwa kama hii ndani ya awamu moja haiwezekani.
😂😂😂😂Lazima mataifa mengi yang'ake na kutuzushia tunapika takwimu.
Hivi unajua kaka tokea 2017 kuja mwaka huu mataifa ya ukanda huu Mathalan Ethiopia na Eritrea na Somalia yanaona Tanzania kama mfano!?
Na hadi viongozi wao huja hapa kujifunza kupitia serikali yetu.
Nakumbuka mwaka jana Abiy Ahmed alisema "kuna mengi ya kujifunza Tanzania,mfano mmoja wapo ni namna gani serikali inatoa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi,pia namna gani serikali inatoa elimu bure kutoka chekechea mpaka secondary".
Nisiandike mengi ila kuanzia awamu ya Magufuli mataifa mengi yalishangazwa na namna Tanzania inavyoendeshwa.
 
Wanaangaliana 10 kwenye cabin nzima huku mnaangaliana wote 😅😅😅View attachment 3050067View attachment 3050069View attachment 3050070
Asante kwa kutuonyesha dinning coach plus an old coach of economy😂😂🤣🤣👇👇

1721744594561.jpeg
 
Ninakataa Tanzania kupika takwimu kwasababu zifuatazo;
-Tunafanya miradi mikubwa kuliko Kenya.
-Tumefanya miradi mingi kipindi cha Magufuli kwa pesa za ndani,kitu ambacho Kenya hamjawahi,hamuwahi na hamtowahi kufanya.
-Hutosikia mishahara ikichelewa ya watumishi wa umma au kupitiliza muda wa kulipwa.
-Hatuna tozo za kupitiliza hadi katika unga wa ugali kama Kenya.
-Tuna akiba ya kigeni kubwa kuliko hata Kenya.
-Huduma za kijamii toshelezi hasa za afya.Ndio maana HUSIKII TANZANIA IKIISHIWA DAWA ZA TB KAMA KENYA.

Yanayofanyika Tanzania yanafanyika kwa fedha za serikali nchi inajengwa kwa fedha za serikali kitu ambacho Kenya hukioni MILELE DAIMA.
-Ndio maana hutuoni tukiingia kwa barabara kuandamana kisa ugali.
Nchi inayopika data ni Kenya.
Endelea kukataa 😂😂🤣🤣👇👇

IMG_0389.jpeg
 
Back
Top Bottom