buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
View attachment 3046366
Mpumbavu sana huyo jamaa kila mada analeta utoto na anakomaa nao kinoma.
Alafu mtu akiacha kubishana nae anaona amewin?View attachment 3045824
Tunakoelekea itabidi tuache kujadiliana na Wakenya 😂😂😂. Yaani mnadownload picha za Watu huko mnakuja kutuletea humu kujifariji na gari moshi lenu, yaani hata kuangalia kuna mtu mweupe wakati Kenya mnakuwaga weusi ti, umeshindwa
Mpumbavu sana huyo jamaa kila mada analeta utoto na anakomaa nao kinoma.