Mfano ziara iko mbeya.. kwann wakiwa huko mbeya yasiandaliwa luxury makosta au hiace kwa ajili ya hao watu.. hata kama kila hiace moja itabeba watu watano.. mbona UK, marais akiwepo mmpiga mwingi nae alipandishwa kwenye hiace/coasterHaya mambo mnayakuza na mnayaongea kwa mihemko.
Hebu ngoja sasa tufanye calculation
* President is a head of state anatakiwa kulindwa kwa namna zote. Hili tunakubaliana sote
* Viongozi hawawezi kwenye msafara hawawezi kutembelea IST. Na hili tunakubaliana sote
* Je, Raisi anatakiwa kwenye msafari awe na Magari ya state house mangapi?
NGOJA TUFANYE HIVI: Hayo magari hayakuzidi 80.
1. State House Cars - 6
2. Police Cars - 4
3. Mawaziri - 10
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - 10
5. DED - 6
6. Viongozi wa Dini na NGO - 10
7. Wajumbe wa NEC CCM - 6
8. Wabunge - 10
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - 10
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - 20
Hebu piga hesabu hapo.
Bado sijawaweka maafisa wa Chama na Serikali. Bado sujawaweka waandishi wa habari.
Mzee unakuwa too emotional than using brain. Maria Sarungi anawalisha matango pori.
1. State House Cars - suv 6 ✅
2. Police Cars - suv 4 ✅
3. Mawaziri - hiace 2 .. kila hiace mawaziri 5
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - hiace 2
5. DED - costa/hiace 1
6. Viongozi wa Dini na NGO - costa/hiace 1
7. Wajumbe wa NEC CCM - costa/hiace 1
8. Wabunge - hiace 2
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - hiace 2
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - costa/hiace 2
Wakishatoka ziara, hizo zitawarudisha makao makuu ya mkoa kutawanyika au wengine yataendelea na ziara mikoa mengine