Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These people were conned😂😂👇👇

IMG_0379.jpeg
 
These are second hand disfunctional coaches from Germany. Nobody wanted to board them in Germany and that’s why they were shipped to Tanzania. They are not trains. Do you even know what trains are?
They are not even here yet, fool. Acha kujidanganya. Yenu ya Spain ni mabovu. Hayo yalikuwa operational na DOB na yamenunuliwa yakiwa still operational na yana undergo refurbishing ya nguvu mno.

Wewe na wakenya wenzenu sio wakutufundisha kuhusu trains.
 
Mmmh mkuu mbona muda sana wameanza kutumia.
Tena walianza na Ford Everest wakaja na zile Ford zilizokaa kama landrover fulani hivi.
Since 2019 nimeona serikali wakitumia Ford sana sana Ford Everest.
Dah, sikuwa nafahamu hilo, hizi ford ni cheaper kulingana na Land Cruiser, ila siyo reliable sana. Hizo kama Land Rover ni Ford Explorer.
 
Mpaka sasa kiwango cha umeme tunachozalisha ni 2700+ MW. Kumbe hawa mnbwa walikua wanazalisha MW ngapi vile? 😂😂😂
Installed capacity ya Tanzania was 2400MW before JNHPP now add 705MW plus 29MW from HEP tunayo share na Uganda + Rwanda unapata almost 3200MW.
Hapo JNHPP bado megawats nyingine 1410MW ambazo mpaka end of the year zikiingia tutakuwa na installed capacity ra 4600MW. Nyangau yao ni 3300MW
 
Installed capacity ya Tanzania was 2400MW before JNHPP now add 705MW plus 29MW from HEP tunayo share na Uganda + Rwanda unapata almost 3200MW.
Hapo JNHPP bado megawats nyingine 1410MW ambazo mpaka end of the year zikiingia tutakuwa na installed capacity ra 4600MW. Nyangau yao ni 3300MW
Kundustan is a backwards nation
 
Wasikusikie mkuu wako radhi uwatukanie mama zao lakini sio kudhalilisha kenya yao 😁
Hiyo inaitwa patriotic ya kindezi sana. Education system yao ndio imewafanya wawe wajinga no 1 hapa duniani.

Just imagin kwa sasa wanaandamana, ukiwauliza kwanini mnaandamana #RUTOMUSTGO. Ni kama Mazombie mzungu atakachowaambia wanafanya
 
Back
Top Bottom