Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
I hit on the head. And remember I don’t care about the ban.Please don’t get yourself banned again… very sensitive question… 😂😂😂😂😂😂😂😂
I hit on the head. And remember I don’t care about the ban.Please don’t get yourself banned again… very sensitive question… 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mitungi ya chang‘aa Kenya hafikii horsepower ya hizi!Hizo engine zenu sawa na hizi zetu za narrow gauge brotheee.View attachment 3046441
1.Miaka 5 ya Magufuli vitu vya Afya 360 vs miaka 3 ya mama vituko vya Afya zaidi ya 400
2.Tarura Bajeti Bilioni 270 vs Tarura Bajeti Bilioni 850 (Nani kajenga zaidi)
Niendelee kwenye maji,shule,mikopo ya Wanafunzi,mahospital ,Vyuo vya Ufundi,nishahara,Ajira nk?
Mwisho mtaanza mapovu na kuvuja ,ngoja niishie hapa hapa 😆😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9mCdOQsIFe/?igsh=bHBqa3l5YmZ1dGRu
Nilijua lazima utafute ezcuses 😂😂😂Bila kusahau miaka 3 mikopo ya kutisha zaidi ya mikopo iliokopwa awamu 5 kwa pamoja 😂😂😂
Bila kusau tozo za kutisha kila sector😂
Mukiambiwa ukweli munakua wakali mikopo iliokopwa tulitegemea tuwe miaka 10 aheadNilijua lazima utafute ezcuses 😂😂😂
Magufuli alikopa au hakukopa?
Mikopo ya mama miaka 3 ni mikubwa kuliko mikopo ya awamu zote combined 😅😅😅Nilijua lazima utafute ezcuses 😂😂😂
Magufuli alikopa au hakukopa?
Ukweli upi? Iko wazi kabisa na Samia alisema Serikali yake itakopa na imekopa kutekeleza miradi.Mukiambiwa ukweli munakua wakali mikopo iliokopwa tulitegemea tuwe miaka 10 ahead
Narudia kukuuliza naomba update ya SGR phase 3,4 and 6 ukipata update so far let me know 😂😂
Au tuendelee kusifia Tu 😅🙌
Nataka jibu, Magufuli alikopa au hakukopa?Mikopo ya mama miaka 3 ni mikubwa kuliko mikopo ya awamu zote combined 😅😅😅
Hio mikopo inasaidia nn ikiwa sukari inauzwa 10,000 kwa kilo?? Inasaidia nn hio mikopo wakat kuna matozo kibao kwenye mitandao ya simu na banks
Miradi gani wakat miradi muhimu zaidi imesimama 😅😅😅 au unafkiri kujenga kituo cha polisi ndio mradi huo?? Wakat sukari inauzwa 10,000 na waziri yupo ofisiniUkweli upi? Iko wazi kabisa na Samia alisema Serikali yake itakopa na imekopa kutekeleza miradi.
Jibu swali Magufuli alikopa au hakukopa? Nina maswali mengi ya kukuuliza.
Nijibu swali , Magu alikopa au hakukopa?Miradi gani wakat miradi muhimu zaidi imesimama 😅😅😅 au unafkiri kujenga kituo cha polisi ndio mradi huo?? Wakat sukari inauzwa 10,000 na waziri yupo ofisini
Narudia tena awamu hii imekopwa pesa nyingi kuliko awamu zote combined na ukitaka ushahidi let me know😅😅😅Nataka jibu, Magufuli alikopa au hakukopa?
Are you sure of that?.. check your sources again!![]()
![]()
![]()
VS
View attachment 3047428
![]()
Kisumu international airport is beaten in every category!No control towet at Kisumu n runway is short!
Unataka kusema humjui your benefactor aliyewapa dawa za TB. Ali sign dawa zitoke Tz zije Kunyaland wakati mama akiwa safarini.Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.
Inamaana dakika 25 ikikadiriwa ndio sawa na lisaa!?We were talking about time rounding off here na sio numbers za kawaida. Time has a special formula for rounding off.
Chukua ushauri utakusaidia kama hutaki acha kaa na ujinga wako ulioletwa na elimu yenu duni.
Mkuu acha kupoteza muda wako.Sijui unacheka na nani, zipige tuone!