NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Msijali, pia sisi tulikuwa hivo.😂😂😂Kwani unaumia na nini unataka wasndamane kama huko kwenu
Msijali, pia sisi tulikuwa hivo.😂😂😂Kwani unaumia na nini unataka wasndamane kama huko kwenu
Amenikamata sio 😬😬😬Hapo umekamata pmb
🤣🤣🤣🤣 Hapo umekamata pmb kisawasawa lazima atoe milio kama yote 😁
Nenda kawasaidie Gen Z tena kuandamana. 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Mnataka muongozwe na malaika?dar slum jiji bila commuter rail 😂😂
Asante kwa kumtaja. Pole lkn.Samantha ndio nani huyo.
Most of this Bongolalas hawajui uchumi wetu ulishinda wao mwaka wa 2005. Wameaminishwa tuliachiwa uchumi Bora na Muingereza halafu ndio wameanza kutukaribia.😂😂😂1992 bongolala ilikuwa mbele ya Kenya. Hii ndio karne yetu kutambaa😂
Wale wale wanarudi 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Most of this Bongolalas hawajui uchumi wetu ulishinda wao mwaka wa 2005. Wameaminishwa tuliachiwa uchumi Bora na Muingereza halafu ndio wameanza kutukaribia.😂😂😂
USA of Africa 🇰🇪Yani Bongolala wanafuatilia siasa za Kenya mbaya sana. Washaajua new CSs Mimi hata kabla nijue.😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 Aliyewaroga ameshakufa.USA of Africa 🇰🇪
Napata mlo wa 4 sasa hivi 😁. Vipi wewe umekula?NairobiWalker umesema ukweli watanzania wanashida ya ubongo, mtu hajui kwann nimetumia 3.333hrs badala ya 3:20 wakati natafuta speed. Mzee wa milo mitano pia nae anasapoti 😂😂
NairobiWalker what is he saying 😬Hii hesabu yako yenyewe uliopiga hapa ni ya ukilaza na uongo. 😂😂😂 utaacha lini ukilaza wako na uongo? Sasa ikiwa safari nzima inatumia 3:25 hours, ukiondoa dakika tano za kusimama kituo cha morogoro utapata kwamba treni imetumia 3:20 hours
Ukifanfanya hesabu za kujua ni speed gani ilitumika hiyo hesabu itakua hivi
Speed = distance/time
Ambapo ni hii 458km ukigawa na hii 3:20 jibu ni 143.125km/hour
Haya tueleze hii 138km umepata wapi? 😂😂😂😂😂
Unakomaa kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 Kenya is already dead. Mavi hayasafishwi. #RUTOMUSTGO 🤣🤣🤣NairobiWalker what is he saying 😬
Unajua population ya hilo eneo au unaropoka tuu.Nimecheka sana 😂😂😂😂View attachment 3046399
Sijakula 20hrs nafanya autophagyNapata mlo wa 4 sasa hivi 😁. Vipi wewe umekula?
#RUTOMUSTGO stupid kenyans. Kiongozi mmemchagua kwa kura mnataka atoke kwa maandamano 🤣🤣🤣🤣🤣Sijakula 20hrs nafanya autophagy
Toka hapo kibera utembee kijana usikalie kulishwa matango pori tuudar slum jiji bila commuter rail 😂😂
Niongeze pressure ama nipunguze,😬Toka hapo kibera utembee kijana usikalie kulishwa matango pori tuu
Unadhihirisha dhana ya USA of Africa🇰🇪#RUTOMUSTGO stupid kenyans. Kiongozi mmemchagua kwa kura mnataka atoke kwa maandamano 🤣🤣🤣🤣🤣
#RUTOMUSTGO 🤣 🤣 🤣 🤣 Vagabond behaviorsUnadhihirisha dhana ya USA of Africa🇰🇪