Mfano ziara iko mbeya.. kwann wakiwa huko mbeya yasiandaliwa luxury makosta au hiace kwa ajili ya hao watu.. hata kama kila hiace moja itabeba watu watano.. mbona UK, marais akiwepo mmpiga mwingi nae alipandishwa kwenye hiace/coaster
1. State House Cars - suv 6 ✅
2. Police Cars - suv 4 ✅
3. Mawaziri - hiace 2 .. kila hiace mawaziri 5
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - hiace 2
5. DED - costa/hiace 1
6. Viongozi wa Dini na NGO - costa/hiace 1
7. Wajumbe wa NEC CCM - costa/hiace 1
8. Wabunge - hiace 2
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - hiace 2
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - costa/hiace 2
View attachment 3046861
View attachment 3046856View attachment 3046857
Wakishatoka ziara, hizo zitawarudisha makao makuu ya mkoa kutawanyika au wengine yataendelea na ziara mikoa mengine