Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama tunafatilia zenu sana, hapa Tz kuna mwanasiasa wenu yoyote alikua anapigiwa kelele kama ni Raisi wao kama huko kwenu kipindi cha Magufuli?

Kama hamfatilii mmejuaje CCM?
Kama hamfatilii mnajuaje Bunge letu limekemea kitu?

Na kama hujui Chochote kuhusu siasa zetu why unatuletea upuuzi wenu wa tiktok kisa Maandamano?

Nadhani nyie mtapona siku mkiacha kujipa UMUHIMU usio na faida, Ni miaka mingapi kila kukicha mnafanya Maandamano na matokeo yake nini?
Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.
 
Swetie na wewe umeingia kwenye huu mjadala I wont be harsh on you as I do to other kimas.
Ordinary figures which have a decimal scale of 0 to 9 you can round of to the nearest number but time is different it is normally rounded off to the near quarter hour. For instance 3.25pm will be rounded of 3.30pm and not 4pm as you and et al seem to suggest.
What I am teaching you is used worldwide.
You're very stupid.
Kwanza mimi sijaongelea to the nearest number bali to the nearest hour.
So if I tell you round off 55 to the nearest 100 utasema numbers are rounded off to the nearest 10 and not to the nearest 100?
Aliyeanzisha mjadala aliround off to the nearest hour, sawa wewe ubadilishe iwe to the nearest quarter hour kisa hutaki kukubali hujui hisabati? You're very foolish and uneducated.
 
Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.
I hope utafunga account.

View: https://youtu.be/TTXeR1J9U5M?si=8cwIhiA5agzrxilp

View: https://youtu.be/Ovl4QAdoTrI?si=_09nGLdJWzCTMjRX

View: https://youtu.be/npPgYL0-KnU?si=8nOnmAVh_mwd5DEV

View: https://youtu.be/edd4yb4p5WA?si=tMfiKgzQc6ryZTcx

View: https://youtu.be/6lLrmNgwXK4?si=WhKxtYe1cEWJdhkR

View: https://youtu.be/o0ISO77adx0?si=aIJMVwV_jpFcbSqe

View: https://youtu.be/JX-SCHqfKOY?si=46u9sYpVpnxs9KEX

View: https://youtu.be/sjdy9BUi9-o?si=GoaE3_CxBg5MdOCT

Huyo Vice President usiyemjua

View: https://youtu.be/Zqqv7Zx54zo?si=Z4HgVNkLnIohYH06

View: https://youtu.be/DdhPMks12NU?si=LnA-yoer9S-68Kzn

View: https://youtu.be/zYAiMGJEkTw?si=Dw8ze-cpAvKDeYo1

View: https://youtu.be/KxK5pNJnWG4?si=oejuHbtcC7Izbj9k

View: https://youtu.be/QEBrVdBZjIE?si=_-8N4jKzzIIK160n

Nimeleta major news huko kwenu usije sema nobody know.

Na msisahau suala la Corona mlihamishia vyombo vyote huku mpaka kuhoji wanasiasa wa upinzani, kujipa umhimu kua Magufuli yupo Huko anapokea matibabu, Kila mbinu yetu ya kupambana kuanza kuidiscuss.

Ukimaliza kusoma Potea mazima tusikuone tena. Tafadhali
 
You're very stupid.
Kwanza mimi sijaongelea to the nearest number bali to the nearest hour.
So if I tell you round off 55 to the nearest 100 utasema numbers are rounded off to the nearest 10 and not to the nearest 100?
Aliyeanzisha mjadala aliround off to the nearest hour, sawa wewe ubadilishe iwe to the nearest quarter hour kisa hutaki kukubali hujui hisabati? You're very foolish and uneducated.
We were talking about time rounding off here na sio numbers za kawaida. Time has a special formula for rounding off.
Chukua ushauri utakusaidia kama hutaki acha kaa na ujinga wako ulioletwa na elimu yenu duni.
 
Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.

I'm not talking about reporting, I'm talking of discussing. Kiingereza huwa kimewapiga chenga balaa. Here is an example of a discussion.

View: https://www.youtube.com/watch?v=ZJGzM751LlE

Wewe ni mpumbavu unaesumbuliwa na ubishi na uongo. 😂😂😂 sijawahi kuona mtu mpumbavu kama wewe aisee.
 
Back
Top Bottom