REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,247
- 10,940
Mlikuwa hamuishi uhalisia. Sasa kama uchumi wenu uko juu iwaje hata mishara ni shida na sasa mpaka mawaziri na marais wastaaf wamekatwa maokoto yao?Most of this Bongolalas hawajui uchumi wetu ulishinda wao mwaka wa 2005. Wameaminishwa tuliachiwa uchumi Bora na Muingereza halafu ndio wameanza kutukaribia.😂😂😂