Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

160kph no operational speed wewe hukuona kitu kinahonga more than 176kph ana unajitoa ufahamu tuu?
Kwanza unatakiwa uelewe maana ya operational speed na hakuna train yoyote duniani inaweza kwenda na top speed constantly maana kuna acceleration na deceleration.
Nimekwambia speed ingekua 160kph time ya kutoka dar to dom isingechukua zaidi ya 2hr 45min.
Unaelewa kingereza, as high as 160kph inamaanisha vipi??
IMG_20240719_154630.JPG
 
Nimekwambia speed ingekua 160kph time ya kutoka dar to dom isingechukua zaidi ya 2hr 45min.
Unaelewa kingereza, as high as 160kph inamaanisha vipi??
View attachment 3046353
Hatuwezi jadiliana na maskini sisi. You are poor. You cannot come here to discuss Electric trains issues.
Nenda kapambane na Gen Z. Mkimaliza mje hapa.
 
Nionyeshe hivo vituo manake ni kimoja cha morogoro na within dakika 5 treni imeondoka. So wacha tufanye adjustment ya hizo dakika
3:25-0:05= 3:20

Speed = distance/time
= 457/3.3
Speed = 138.5km/h

Wajanja tunajua average speed ni 140km/h
Hii hesabu yako yenyewe uliopiga hapa ni ya ukilaza na uongo. 😂😂😂 utaacha lini ukilaza wako na uongo? Sasa ikiwa safari nzima inatumia 3:25 hours, ukiondoa dakika tano za kusimama kituo cha morogoro utapata kwamba treni imetumia 3:20 hours

Ukifanfanya hesabu za kujua ni speed gani ilitumika hiyo hesabu itakua hivi

Speed = distance/time
Ambapo ni hii 458km ukigawa na hii 3:20 jibu ni 143.125km/hour

Haya tueleze hii 138km umepata wapi? 😂😂😂😂😂
 
Dah alooo kuna shida kubwa sana na elimu ya Tanzania.
Unit Time inafaa kuwa in (hours)
20min= 0.333hrs
20/60= 0.333
3.00+ 0.333

Speed= 457/3.333
=137kpH
 
Back
Top Bottom