Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanian total workforce ni mara tatu ya Kenya na alomost mara mbili ile ya South Africa. Wasouth walifanya komparizon kwenye sekta ya kilimo tu wakanyoosha mikono. Over 80% ya wafanyakazi kwenye hospitality industry ni Wakenya na husikii kelele kuwa wanashukua kazi zetu.
Hii ilikuwa imenipita, mzee unajua kweli maana ya civil servant.

someone who works in a department of a country's government but who is not a part of its military
 
Unaingia kwenye mfumo, kuna ushahidi inakimbia zaidi ya 120kph. Kila trip ni Tofauti na kile kilocho andikwa kinaweza zidi au kupungua
Leo huchomoki.. mimisijazungumzia habari za speed kuzidi wala kufika makisio, nimekuuliza everage speed ya treni yenu nginja nginja ni ngapi? 😂😂😂 90km/hr or80km/hr?
 
Leo huchomoki.. mimisijazungumzia habari za speed kuzidi wala kufika makisio, nimekuuliza everage speed ya treni yenu nginja nginja ni ngapi? 😂😂😂 90km/hr or80km/hr?
Umeingia kwenye mfumo, vipi ulisema uonyeshwe ikienda zaidi ya 80kph ama umepandisha 😬
 
Bado umekomaa na 180kph 😂😂
Express take 6hrs. Ni kinyonga au? Normal train it will take 8 hours

Screenshot_20240719-212040.png
 
Back
Top Bottom