ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Dar - Dom 457kmHiyo assumption yako ya 140kph umeiotoa wapi we know operational speed iliyokuwa documented ni 160kph. Scientific arguments haziendi kwa kubuni vitu kichwani mwako.
Maximum speed ni 180 average speed ni 160.Dar - Dom 457km
Time 3:25
Speed = Distance/time
=457/3.4
Speed = 134km/h
160km/h ni maximum speed na sio average.
Ajabu wanajisifia na hamna kilichobadilika na kuna watu wamekufa,sadWakenya wamebaki kujipiga risasi mguuni na huyo Ruto wameshindwa kumng'oa mpaka leo, ha ha ha😎😎
Nionyeshe hivo vituo manake ni kimoja cha morogoro na within dakika 5 treni imeondoka. So wacha tufanye adjustment ya hizo dakikaMaximum speed ni 180 average speed ni 160.
Na hiyo ni kwasababu treni itasimama vituo vingi njiani ndio maana.
Katika kila kituo treni itasimama kwa dakika sio chini ya 5.
Elimu yao mbovu mkuuKaka ungeuliza swali rahisi sana,masaa matatu na dakika 25 ni sawa na masaa manne kimakadirio!?
Kutoka Dar mpaka Moro kuna takriban vituo vinne.Nionyeshe hivo vituo manake ni kimoja cha morogoro na within dakika 5 treni imeondoka. So wacha tufanye adjustment ya hizo dakika
3:25-0:05= 3:20
Speed = distance/time
= 457/3.3
Speed = 138.5km/h
Wajanja tunajua average speed ni 140km/h
160kph ni operational speed wewe hukuona kitu kinagonga more than 176kph ama unajitoa ufahamu tuu?Dar - Dom 457km
Time 3:25
Speed = Distance/time
=457/3.4
Speed = 134km/h
160km/h ni maximum speed na sio average. Kama ingekua hivo treni isingepitisha 2hrs 48min
Ya China railway ilienda total speed ya 400+kmph ilipinduka😂😂😂😂😂😂.160kph no operational speed wewe hukuona kitu kinahonga more than 176kph ana unajitoa ufahamu tuu?
Kwanza unatakiwa uelewe maana ya operational speed na hakuna train yoyote duniani inaweza kwenda na top speed constantly maana kuna acceleration na deceleration.
Tunajadili kuhusu express train zinazo simama morogoro pekeyake.Kutoka Dar mpaka Moro kuna takriban vituo vinne.
Kutoka Morogoro Mkundi mpaka Makutupora ni zaidi ya vituo SITA.
Embu tizama hapo.
Halafu piga mahesabu kwa vituo vinne utoe dakika 5 katika kila kituo kimoja ni dakika 20.
Na katika vituo sita na zaidi utoe dakika 5 katika kila kituo ni takriban dakika 30 na zaidi.
Ukitoka stesheni posta usimame pugu,sifa,Ruvu na ngerengere ndio kituo kikuu Morogoro Mkundi.
Ukitoka hapo uende Dodoma usimame Kilosa,Mkata,kidete,gulwa,igandu,Dodoma mjini kesha Makutupora.
Piga mahesabu hapo.
View attachment 3046340
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya bhana. Wenzako huko Gen Z wanaandamanaDar - Dom 457km
Time 3:25
Speed = Distance/time
=457/3.4
Speed = 134km/h
160km/h ni maximum speed na sio average. Kama ingekua hivo treni isingepitisha 2hrs 48min