Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe jiniasi unaona tofauti ya 45kph ni ndogo? Ushawahi kuendesha gari at 90kph them mtu akakupitq na 135kph? Ushaangalia F1 kuna DRS zone ambapo dereva anaefukuza anapata advantage ya 7-12kph tu. Sasa angalia tofauti yake utajua kuwa aliekuzidi 45kph kakuacha mbali sana.
Umeingia kwenye mfumo, si ulisema nipuuzwe 😬😬😬
 
Sasa mtu anaona 137 ni sawa na 92 ni mzima huyo? Sijui hata kama ashawahi ku drive maana hajui tofauti ya speed.
Wakenya wamechanganyikiwa wanaona kama ndoto. Wanatakiwa waondoke kwenye bumbuwazi. Is happening.

Kama vile USA hawataki kabisa kuamini.

Hii ni mbaya sana. Maandamano hayataisha kwao

Nakumbuka maandamano yao yalianza siku tuna launch SGR

Maandamano yao yapo mixed na kuona Tanzania inasonga mbele. Wanataka kulazimisha na wengine waandamane.

STUPID KENYAN
 
Tanzanian total workforce ni mara tatu ya Kenya na alomost mara mbili ile ya South Africa. Wasouth walifanya komparizon kwenye sekta ya kilimo tu wakanyoosha mikono. Over 80% ya wafanyakazi kwenye hospitality industry ni Wakenya na husikii kelele kuwa wanashukua kazi zetu.
wacha upumbavu eti 80% ya workforce Hospitaity industry Wakenya umepata wapi hizo statistics? Unapenda kuzusha! Kwahiyo Arusha, Zanzibar na Kilimanjaro 80% ya Wafanyakazi utalii Wakunya! kweli? waacha ufala!
 
😂😂😂 kwahiyo umeamua kujitoa ufahamu? Yani saa 2 kamili asubuhi hadi saa nane na dakika kumi ni masaa matano? 😂😂😂. Oky so now which train is faster between Tz train vs Kenyan train? 😂😂😂 usione aibu kuongea ukweli.
Express train huitaki, wataka intercounty inayosimama vituo 7 😂😂😂
images.jpeg
 
😂😂😂 wew ulisema treni yenu inatumia masaa matano na dakika 10, (wote tunajua kuwa sio kweli ila tumekuacha ujifariji) sasa ikiwa treni yenu inatembea kwa muda huo kwa umbali wa km 480, je average speed itakua ni 100? 😂😂😂
Unanifunza hesabu wakati ulikuwa hujui 3:20 ni sawa na 3.333hrs 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
wacha upumbavu eti 80% ya workforce Hospitaity industry Wakenya umepata wapi hizo statistics? Unapenda kuzusha! Kwahiyo Arusha, Zanzibar na Kilimanjaro 80% ya Wafanyakazi utalii Wakunya! kweli? waacha ufala!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom