Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rais Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa.

1721401807216.png


1721401909537.png
 
Kutoka Dar mpaka Moro kuna takriban vituo vinne.
Kutoka Morogoro Mkundi mpaka Makutupora ni zaidi ya vituo SITA.
Embu tizama hapo.
Halafu piga mahesabu kwa vituo vinne utoe dakika 5 katika kila kituo kimoja ni dakika 20.
Na katika vituo sita na zaidi utoe dakika 5 katika kila kituo ni takriban dakika 30 na zaidi.
Ukitoka stesheni posta usimame pugu,sifa,Ruvu na ngerengere ndio kituo kikuu Morogoro Mkundi.
Ukitoka hapo uende Dodoma usimame Kilosa,Mkata,kidete,gulwa,igandu,Dodoma mjini kesha Makutupora.
Piga mahesabu hapo.
View attachment 3046340
Bado hujaweka dakika za kupishana trains kati ya inayotoka Dar to Dom na Dom to Dar kuna 1 itasimama kupisha nyingine
 
Kitu ambacho ukifahama Dar to Dodoma (makutopora) ni 475 km Dar to Dodoma mjini ndio 452km, treni inaishia makutopora km 475 ndani ya masaa 3:25 ilhali yenu nairobi mpaka mombasa km 483 treni inachukua masaa 6 yaani kama mpaka hapo bado huoni tofauti broo basi hao funza wala ubongo kichwani mwako watakufa kwa njaa aisee
Watanzania wamepanik mpaka wanalike kila ujinga. Dar to dom via sgr ni 457kms.

Speed = distance/time
=457/3.333
Speed = 137kph
Screenshot_20240719_184615.JPG
 
Oky, now tell us the average speed of your madaraka train 😂😂😂😂 ikiwa inatumia masaa sita kufika same distance that of Dar-Dom. Safari ya Nairobi-Mombasa inachukua masaa 6 na dakika nane. Now do the math. Nipo hapa nasubiri. 😂😂
masaaa 6 umechomoa wapi mqunduni ama? 😬
 
Back
Top Bottom