Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,098
- 32,919
Anhaaa kumbeee!?Tunajadili kuhusu express train zinazo simama morogoro pekeyake.View attachment 3046347
Maximum speed ni 180.Dar - Dom 457km
Time 3:25
Speed = Distance/time
=457/3.4
Speed = 134km/h
160km/h ni maximum speed na sio average. Kama ingekua hivo treni isingepitisha 2hrs 48min
Kitu ambacho ukifahama Dar to Dodoma (makutopora) ni 475 km Dar to Dodoma mjini ndio 452km, treni inaishia makutopora km 475 ndani ya masaa 3:25 ilhali yenu nairobi mpaka mombasa km 483 treni inachukua masaa 6 yaani kama mpaka hapo bado huoni tofauti broo basi hao funza wala ubongo kichwani mwako watakufa kwa njaa aiseeDah alooo kuna shida kubwa sana na elimu ya Tanzania.
Unit Time inafaa kuwa in (hours)
20min= 0.333hrs
20/60= 0.333
3.00+ 0.333
Speed= 457/3.333
=137kpH
Madharau ya kujifunza hisibati kwa Kiswahili.๐๐NairobiWalker umesema ukweli watanzania wanashida ya ubongo, mtu hajui kwann nimetumia 3.333hrs badala ya 3:20 wakati natafuta speed. Mzee wa milo mitano pia nae anasapoti ๐๐
Acha kukaza fuvu bro.Nimekwambia speed ingekua 160kph time ya kutoka dar to dom isingechukua zaidi ya 2hr 45min.
Unaelewa kingereza, as high as 160kph inamaanisha vipi??
View attachment 3046353
Unajua hisabati gani we punda milia? ๐๐๐Madharau ya kujifunza hisibati kwa Kiswahili.๐๐
Ndio maana wanadhani ukiround off 3:35 to the nearest hr ni 3. The concept of minutes being a different scalar to hours doesn't exist in their heads.๐๐๐NairobiWalker what is he saying ๐ฌ
#RUTOMUSTGO ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃNdio maana wanadhani ukiround off 3:35 to the nearest hr ni 3. The concept of minutes being a different scalar to hours doesn't exist in their heads.๐๐๐
Kasi itaongezeka huo ni mwanzo.Tunajadili kuhusu express train zinazo simama morogoro pekeyake.View attachment 3046347
Hizo engine zenu sawa na hizi zetu za narrow gauge brotheee.
Commuter train zipo ipo ya Mwakiyembe TAZARA na ya Gongo la Mboto TRC.dar slum jiji bila commuter rail ๐๐
Bado mmelewa na kizungu cha ugoko licha ya mababu zenu kuwafundisha mzungu aende ulaya mwafrika apate uhuru?๐๐๐Madharau ya kujifunza hisibati kwa Kiswahili.๐๐