Hivi mradi wenu upi uko fully funded by the government? Mmezoea kudanganywa kama mlivyodanganywa SGR ni fully funded by the government. Miradi yote mnayojichocha nayo humu ni either loans ama misaada. Mmelala fofofo matatizo tunayoyapinga huku kwa maandamano yapo kwenu hata zaidi alafu mnajiona wajanja? Afrika nzima imeona ujasiri wetu inajaribu kuiga nyinyi mko hapo na chuki zenu eti hamuwezi andamana juu hamna njaa. Yule mzungu Yves anawaumbua kule YouTube tunaona heri kwetu kuna nafuu kuliko huko kwenu na bado mnajiaminisha eti hamuandamani kisa mnajitosheleza? Tumeona nchi Tajiri kama Marekani kwenye uchumi wa kitown kidogo huko kama Austin chenye idadi ya watu laki tisa pekee umeshinda uchumi wa Tanzania nzima lakini bado wanaenda maandamano kisa high cost of living alafu nyie mko huko ombaomba hadi mnawakera wageni nchini mwenu na mmeexport hao ombaomba nchi jirani alafu bado mnajikenua eti hamuandamani kisa mko na land of milk and honey? Wajinga nyinyi.
1. Naomba waliofund Lot 1 ya SGR ($900m)
2. Naomba waliofund JNHPP (Tsh. 6 Trillion kuna mtu wa mkopo anaweza toa $3 Billion kujengea nchi bwawa alafu hiyo nchi raisi aweke Permanent Sovereignty on Natural resources meaning hata iweje dhamana yao haitakua mali yao, alafu huyo aliyetoa mkopo asitake kutangazwa eeeh kwa huo mchango mkubwa. Na sijui kama kuna lender atajitoa akili kuweka hizo pesa zote nchi ya Africa papo hapo mradi mmoja na ukamilike uwe mali 100% ya serikali)
3. Naomba Mkopo wa kujenga Dodoma Magufuli City source yake.
4. Naomba source ya mkopo wa Kibaha Kimara Highway
5. Naomba Source ya Mkopo ya Kijazi Interchage (Ubungo Interchage)
6. Naomba Source ya mkopo (fund) za Magufuli Bridge.
7. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa TZ state house
8. Naomba Source ya mkopo ya Ujenzi wa Msalato International Airport na airports nyingine.
9. Naomba source ya mkopo ya Ujenzi wa Magufuli Bus Terminals, Tanga Bus Terminal, Dodoma Bus Terminal, Nyegezi Bus Terminal, Nyamahongolo Bus terminal.
10. Naomba Source ya Mkopo ya Ujenzi wa Oil Terminal ($270 million)
11. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa Masoko ya kisasa (Job Ndugai (Dodoma), Kariakoo soko jipya, Magomeni, Soko la Mwanza).
List bado ni ndefu....
Kama hiyo yote tumekopa why Debit to GDP ratio ni ndogo, hatujafikia huko ujinga wenu mliokopa toka Enzi za Magufuli Eurobond na vitu tangible havifikii hata bei ya mradi mmoja wa BRT tuliokopa?