Kwanza ni wapumbavu sijaona logic yeyote ya kung'oa Ile reli maana ingsfanya mizigo yote ya Northern Tanzania Kupitia Mombasa ila mizigo ya Uganda mingine ingeoitia MwanA au Musoma port but still mnufaika angekuwa Kenya na bandarinuetu ya Tanga isingekuwa na Tija sana.
Sasa ni hivi ukimwaga ugali tunamwaga mboga ,na Tzn tumepiga Pini Barabara ya Mombasa-Voi-Holili kusafirisha mzigo wa Kundustan Hadi hapo tutakapojenga Barabara ya Handeni -Kondoa-Singida Ili Bandari ya Tanga itumike vizuri.
View attachment 3037128
Ona Kilio Cha Kundustan hapa 👇👇
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1808064957981892785?t=M7QabtQjkHs8gSZx0Zv-ww&s=19
My Take: Tukirogwa na kuruhusu hii route manake Rwanda,Burundi na North Eastern DRC watumie Bandari ya Mombasa ila Dar na Tanga Port zibakie kuwa Bandari saizidi wa Mombasa,hili halitawezeiana panda Kundustan mjenge reli ya Voi na sisi tujenge reli ya Musoma Ili tugawane mzigo wa Uganda.
View attachment 3037129