Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro, Wacha story mingi, tunaongelea tabia ya Wabongo ya kuombaomba na imeonekana wazi. Usijaribu kuchanganya mada hapa hivi.

View attachment 3037659
Kuna kitu hawa watu na huyo mzungu hajakielewa, watu wa huko sio kwamba wananjaa, ila mila zetu ni kwamba mgeni akija, anakuja na Zawadi. Hao watu wanchokiulizia ni zawadi tu...... ni Mila za Kitanzania. Hata kama mimi nikienda huko na mimi nitasumbuliwa kama hivyo.

Ananikumbusha mzungu mmoja anaitwa Coco girl, alienda magufuli kukata tiketi analalamika eti watu wanamfuata fuata, yeye hajui kama wale watu ni kazi yao, hata shilingi kumi kwake hawataki. Wanachotaka ni sura yao tu kuonekana pale ofisini ili ionekane kaleta mteja apate 2000 yake.
 
Maandamano ya hawa nyang'au kwisha habari yake. Ruto bado amekalia kiti na Raila amemuunga mkono leo. Wamejifanya wajanja na kuchoma vitu kibao ambavyo watatumia fedha kuvikarabati. Kifupi wamejipiga risasi mguuni wenyewe bila kulazimishwa. Halafu watu kama NairobiWalker bado wanajipiga kifua; ha ha ha, upuuzi mtupu😎
 
1. Naomba waliofund Lot 1 ya SGR ($900m)
2. Naomba waliofund JNHPP (Tsh. 6 Trillion kuna mtu wa mkopo anaweza toa $3 Billion kujengea nchi bwawa alafu hiyo nchi raisi aweke Permanent Sovereignty on Natural resources meaning hata iweje dhamana yao haitakua mali yao, alafu huyo aliyetoa mkopo asitake kutangazwa eeeh kwa huo mchango mkubwa. Na sijui kama kuna lender atajitoa akili kuweka hizo pesa zote nchi ya Africa papo hapo mradi mmoja na ukamilike uwe mali 100% ya serikali)
3. Naomba Mkopo wa kujenga Dodoma Magufuli City source yake.
4. Naomba source ya mkopo wa Kibaha Kimara Highway
5. Naomba Source ya Mkopo ya Kijazi Interchage (Ubungo Interchage)
6. Naomba Source ya mkopo (fund) za Magufuli Bridge.
7. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa TZ state house
8. Naomba Source ya mkopo ya Ujenzi wa Msalato International Airport na airports nyingine.
9. Naomba source ya mkopo ya Ujenzi wa Magufuli Bus Terminals, Tanga Bus Terminal, Dodoma Bus Terminal, Nyegezi Bus Terminal, Nyamahongolo Bus terminal.
10. Naomba Source ya Mkopo ya Ujenzi wa Oil Terminal ($270 million)
11. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa Masoko ya kisasa (Job Ndugai (Dodoma), Kariakoo soko jipya, Magomeni, Soko la Mwanza).

List bado ni ndefu....

Kama hiyo yote tumekopa why Debit to GDP ratio ni ndogo, hatujafikia huko ujinga wenu mliokopa toka Enzi za Magufuli Eurobond na vitu tangible havifikii hata bei ya mradi mmoja wa BRT tuliokopa?
Alete source ya mkopo wa Dar Kibaha motorway 😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ona huyu,

HDI

Standard of Living
Mabanda ya Nguruwe
Wanatafutiwa kazi za uhousekeeper nje ya nchi
Njaa kali (Mpaka unga umekua Nyara za Taifa)
Hawawezi afford kitu kukitokea economic changes.
Angalia makarai na ngarangara zilizozagaa CBD
Hawawezi afford expressway toll(🤣🤣🤣) chini gari nyingi kuliko juu.

Health
Mwenye ile picha jamaa yupo hospital analia kwenye mfuniko wa jaba yupo naiomba.

Any Government hospital huko ukunyani inaweza compete na Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), Ocean Road Cancer Institute (ORCI), Medical Store Department (MSD) Juzi mlikua mnaomba TB drugs msisahau.

Human Development?
Kweli mtu akiona sura za wakenya unaona kuna development hapo kweli?
Kila kitu cha kijua kali.
Weka na ile picha mwamba anakimbia na ugali sijui ataulaje bila mboga 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom