Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini mzee nakupa kongole kwa kufanya multitasking, how many hours do you spend in a day behind the screen.
wenzako wameanza kulia. Na hapo bado zijaanza nikianza. Mtaifunga KT 🤣🤣🤣👇👇👇

1720521494698.png
 
Ebu turushie picha za bibi titi 😂😂😂
Nimewaambia wenzako huko KT I don't deal with trivial issues, I deal with intelligent things. so Tafuta mtu wa kujadiliana naye mambo hayo.
And remember this is JF mambo ya kijinga we don't tolerate. Account yako hii itafungiwa kama zile zingine.

Njoo na serious issues tutajadili kama watu wazima.
 
CAF wakithibitisha hili, itabidi tuwaachie wakunya waandae peke yao.
It’s ok … we got Amahoro stadium in Rwanda…that means total 6 stadiums already available ( Kenya has 3 )… so thanks for your time… goodbye and don’t let the door hit you on your way out ..😂😂
 
Hivi mradi wenu upi uko fully funded by the government? Mmezoea kudanganywa kama mlivyodanganywa SGR ni fully funded by the government. Miradi yote mnayojichocha nayo humu ni either loans ama misaada. Mmelala fofofo matatizo tunayoyapinga huku kwa maandamano yapo kwenu hata zaidi alafu mnajiona wajanja? Afrika nzima imeona ujasiri wetu inajaribu kuiga nyinyi mko hapo na chuki zenu eti hamuwezi andamana juu hamna njaa. Yule mzungu Yves anawaumbua kule YouTube tunaona heri kwetu kuna nafuu kuliko huko kwenu na bado mnajiaminisha eti hamuandamani kisa mnajitosheleza? Tumeona nchi Tajiri kama Marekani kwenye uchumi wa kitown kidogo huko kama Austin chenye idadi ya watu laki tisa pekee umeshinda uchumi wa Tanzania nzima lakini bado wanaenda maandamano kisa high cost of living alafu nyie mko huko ombaomba hadi mnawakera wageni nchini mwenu na mmeexport hao ombaomba nchi jirani alafu bado mnajikenua eti hamuandamani kisa mko na land of milk and honey? Wajinga nyinyi.
Hata kama inaendesha kwa pesa za mkopo kazi inaonekana na bado atujafikia kwenye nchi zenye madeni makubwa,kunyan tuonyesheni mradi ambao mnaweza kusema pesa yote mliyokopa labda ipo kwenye huo mradi
 
Back
Top Bottom