Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunawakumbusha tu wakenya hapo sio mjini kati ni Mwenge almost 20km from CBD
 
Attachments

  • Screenshot_20240709-152319.png
    Screenshot_20240709-152319.png
    474.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-152314.png
    Screenshot_20240709-152314.png
    533.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-152307.png
    Screenshot_20240709-152307.png
    524.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-152340.png
    Screenshot_20240709-152340.png
    435.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240709-152330.png
    Screenshot_20240709-152330.png
    487.9 KB · Views: 8
Hivi tuamini maneno yako hewa ama tunachoona na kuskia?😂
Una uhakika huyo anachoongea ni sahihi!?
Umeona any sign of famine katika hilo eneo alilopita huyo jamaa!?
Maduka ya vyakula na vinywaji yanafunguliwajwe sehemu ambazo kuna njaa ama ukata wa pesa!?
Ama kweli ninyi ni waabudu wazungu.
 
Mimi siangalii anachosema, naangalia kinachotendeka. Nimeona wabongo kadhaa wakimuomba pesa na chakula. Sio maneno tupu Bali Kuna recorded video evidence.😂😂
 
Nina uhakika hawana. Wee ni mjinga sana. Kuwepo kwa duka hakumaanisha mtu ana hela. Wabongo wenzako wamejazana Nairobi na Nakuru tena mbele ya maduka makubwa wanaombaomba pesa na chakula.
We kweli bwege,sibishani ujinga.
Kungekuwa hakuna pesa na kuna njaa kusingekuwa na mzunguko wa biashara na maendeleo mengine.
Usilete poor justification ya watanzania wachache waliofeli kupambana.
 
Hivi hapa vitu vya maana. achana na uchafu wa wakenya

View: https://youtu.be/OPaaJLyNJPo?si=5wcIhKLBTpH9Rikj

Hiv ndo wanamsikiliza mzungu yule anasema Dar haina sidewalks😂😂.
Tatizo wakenya wanawasikiliza na kuwaabudu wazungu sana. Wanadhani hakuna wazungu vilaza, poor minded, stupid, who lack exposer etc. wakiona anaongea kingereza basi wanaona yuko bora na amelimika.
Kenyans have a long way to go from ignorance and illiteracy
 
Huyo mzungu namjua sana. Watakuwa wamemtuma ili aongee shit kuhusu TZ.
 
We kweli bwege,sibishani ujinga.
Kungekuwa hakuna pesa na kuna njaa kusingekuwa na mzunguko wa biashara na maendeleo mengine.
Usilete poor justification ya watanzania wachache waliofeli kupambana.
Bro, Wacha story mingi, tunaongelea tabia ya Wabongo ya kuombaomba na imeonekana wazi. Usijaribu kuchanganya mada hapa hivi.

Screenshot 2024-07-09 114855.png
 
Bro, Wacha story mingi, tunaongelea tabia ya Wabongo ya kuombaomba na imeonekana wazi. Usijaribu kuchanganya mada hapa hivi.

View attachment 3037659
Kunyaland kila mtu alikua anamuomba mzungu chakula na hela toka aingie Kunyaland mpaka anatoka wakundustan wengine mpaka walikua wanamuibia chakula 😂😂😂😂😂

Screenshot_20240709-163451.jpg
Screenshot_20240709-163417.jpg
Screenshot_20240709-163255.jpg
Screenshot_20240709-163225.jpg
Screenshot_20240709-162900.jpg
Screenshot_20240709-163137.jpg
 
Una uhakika huyo anachoongea ni sahihi!?
Umeona any sign of famine katika hilo eneo alilopita huyo jamaa!?
Maduka ya vyakula na vinywaji yanafunguliwajwe sehemu ambazo kuna njaa ama ukata wa pesa!?
Ama kweli ninyi ni waabudu wazungu.
Screenshot_20240708_231805_Gallery.jpg

Mzungu huyu wanamuamini kimoyo kimoyo 😀
 
Kunyaland kila mtu alikua anamuomba mzungu chakula na hela toka aingie Kunyaland mpaka anatoka wakundustan wengine mpaka walikua wanamuibia chakula 😂😂😂😂😂

View attachment 3037665View attachment 3037666View attachment 3037667View attachment 3037668View attachment 3037669View attachment 3037670
Kenya Kuna ombaomba ila sio kama Tanzania. Ndio maana umepost screenshot nyingi za incident moja. Alafu ukiangalia mazingira anayoombwa Kenya ni mazingira kame inaeleweka. Huko kwenu Kigoma kwenye mashamba na mvua ila mmeomba mzungu hadi akalalamika.😂😂
 
Back
Top Bottom