Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kojoa ulale.
Broke Kenya can run Tanzania, Burundi, Rwanda and Uganda combined. With change for South Sudan. 😂 😂
Broke kenya can't even pay it's workers monthly salary.. Broke kenya watu hawana chakula. Taifa halijiwezi linafikiria halafu raia wake wapumbavu wanafikiria kwamba wanaeza run taifa lingine. 🤣🤣🤣
 
Hili zao la ufuta kama Serikali italipa kipaombele kabisa kinaweza kuitambulisha Tanzania Duniani.

Tu process Mafuta na kuuza mbegu ufuta wenyewe.Mazao kama haya tuna absolute advantage ndio tuweke Nguvu 👇👇
Screenshot_20240612-105730.jpg

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1810380125994889421?t=G4K4SND14mS1ZZOs6GELYg&s=19
 
Broke kenya can't even pay it's workers monthly salary.. Broke kenya watu hawana chakula. Taifa halijiwezi linafikiria halafu raia wake wapumbavu wanafikiria kwamba wanaeza run taifa lingine. 🤣🤣🤣

Kenya employs twice as many police as Tanzania.
Kenya employs twice as many doctors as Tanzania.
Kenya employs 1.5 times as many teachers as Tanzania.

Kenya pays its, teachers, police, doctors, civil servants and government workers 2-3 times Tanzania.

Wewe umelipa kodi Mathare unadhani utashindana kunya na aliyechelewa kidogo kulipa yake Karen.
 
Wewe kweli bi mpumbavu wewe, kwani kuajiri watu wengi ni sifa.? 🤣🤣🤣

Mnakufa njaa kwasababu ya uzembe wa watu wenu vilaza, badala ya kutafuta majembe mkalime mpate mavuno mengi ya chakula na biashara, mnazengea wazungu waje wakujengeeni nchi mpumbavu kabisa nyinyi. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom