Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Today I will defend Tanzania…😜😜… I think begging is in their culture.. like a way of showing appreciation… hata hapa America Kenyans will tell you stories of Bongos asking for favors all the time… it’s in their Ujamaa DNA … ( what’s yours is mine and what’s mine is yours too)… it might be primitive thinking but they mean no harm…😂😂😂😂
No wonder wamejaa huku wanaombaomba. BTW there was time someone shared a tiktok video of a Tanzanian in Germany claiming when she's in a fix, it's Kenyans who help her. Hapo kuna kaukweli. 🤣 🤣 🤣
 
Alafu unatania au upo unaifanyia Kenya Sarcasm? Kwamba sisi masikini na ombaomba hatuendi kazini? Cha ajabu ni food basket ya ukanda huu.
Hilo umelisema mwenyewe. Ni kama unajijua. Mimi nimemwambia ni ufala kujichocha eti mtu anakunywa bia asubuhu na penyewe anapokunywa pamechakaa alafu ni bia moja kwa meza akingoja mtu amtolee form. Huku watu kama hao sisi huwaona kama waliotupa mbao, yani bottom barrel people. Kuona mtu akiflex na watu kama hao inatia huruma.

Nyie msioomba omba why msigeuze ardhi kame kua ya kilimo, na mnaofanya kazi kwa bidii why mnashindwa affords vitu cost of living ikichange mpaka muingie barabarani kuiba.
Tunajitosheleza, hatuombaombi ndio maana tunawekea serikali yetu pressure. Sio nyinyi hapo malazy ombaomba.
Nyumba za bati (Stoo ya vifaa vya ujenzi bongo) ndio dream house zenu?
Hizo ni zenu na mlisema wenyewe. Huku hizo nyumba ni za mafukara wachache. Dream houses zetu ni kama hizi.
muthaiga_mansion_tysons_limited_1.jpg

Mnaweza peleka nje 1m tones za nafaka mambo yakawa fresh huko Kenya?
Hivi kuna faida gani kupeleka nafaka nje alafu walio ndani wanabaki wakiombaomba? Hivi huoni huo ni ujinga?

Usiniambie eti tuna ardhi ya rutuba si tumekua lazy hatuendi job na ombaomba means hadi chakula tunaomba omba watu (Which applies to you idiots (Ruzuku ya Unga).
Wewe unaongea mambo uliyoaminishwa, mimi natumia real time evidence. Tushaona nani ombaomba kati ya hizi nchi mbili.
 
No wonder wamejaa huku wanaombaomba. BTW there was time someone shared a tiktok video of a Tanzanian in Germany claiming when she's in a fix, it's Kenyans who help her. Hapo kuna kaukweli. 🤣 🤣 🤣
Kenyans are the most generous people anywhere…. Unfortunately most Tanzanians in the US come as students sponsored by their government or organizations… so it’s understandable them calling you all the time for a ride here and there…..but they play Bongo flavor so they are appreciated..😂😂😂
 
1. Naomba waliofund Lot 1 ya SGR ($900m)
2. Naomba waliofund JNHPP (Tsh. 6 Trillion kuna mtu wa mkopo anaweza toa $3 Billion kujengea nchi bwawa alafu hiyo nchi raisi aweke Permanent Sovereignty on Natural resources meaning hata iweje dhamana yao haitakua mali yao, alafu huyo aliyetoa mkopo asitake kutangazwa eeeh kwa huo mchango mkubwa. Na sijui kama kuna lender atajitoa akili kuweka hizo pesa zote nchi ya Africa papo hapo mradi mmoja na ukamilike uwe mali 100% ya serikali)
3. Naomba Mkopo wa kujenga Dodoma Magufuli City source yake.
4. Naomba source ya mkopo wa Kibaha Kimara Highway
5. Naomba Source ya Mkopo ya Kijazi Interchage (Ubungo Interchage)
6. Naomba Source ya mkopo (fund) za Magufuli Bridge.
7. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa TZ state house
8. Naomba Source ya mkopo ya Ujenzi wa Msalato International Airport na airports nyingine.
9. Naomba source ya mkopo ya Ujenzi wa Magufuli Bus Terminals, Tanga Bus Terminal, Dodoma Bus Terminal, Nyegezi Bus Terminal, Nyamahongolo Bus terminal.
10. Naomba Source ya Mkopo ya Ujenzi wa Oil Terminal ($270 million)
11. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa Masoko ya kisasa (Job Ndugai (Dodoma), Kariakoo soko jipya, Magomeni, Soko la Mwanza).

List bado ni ndefu....

Kama hiyo yote tumekopa why Debit to GDP ratio ni ndogo, hatujafikia huko ujinga wenu mliokopa toka Enzi za Magufuli Eurobond na vitu tangible havifikii hata bei ya mradi mmoja wa BRT tuliokopa?
The fact that umeweka hapo SGR na JNHPP ambazo tunajua zilijengwa na loan inaniambia nisijisumbue kutafuta hizo zingine.
 
Lete loan ya JNHPP, na SGR soma vizuri LOT 1. Dar - Moro ambayo.now inaunguruma plus purchasing ya Tren aina Tatu.
Broo.................sina huo mda. JNHPP mlichukua loan nyingi ikiwemo ya African export import Bank. Hiyo SGR mnaigawanya vipande vipande ili ionekane hamkuchukua loan lakini the fact is mlichukua. Hata yetu tulitumia pesa yetu kiasi zingine tukakopa ila husikii tukisema eti kipande fulani kilifanywa na pesa zetu.
 
Tunajitosheleza, hatuombaombi ndio maana tunawekea serikali yetu pressure. Sio nyinyi hapo malazy ombaomba.
🤣🤣🤣🤣
1000040793.jpg

1000040791.jpg

Usinichekeshe mpaka matenk Ikulu. Eti kuipa serikali pressure 🤣🤣🤣

Napenda unavyodownplay.

I think nikuache naona ushaflash mambo yote ya Kenya mwezi huu. Yaani unaropoka mnajitosheleza.

Slums dunia nzima top ten mpo unaleta nyumba za elites kubishia huku.
 
Attachments

  • 1000040792.jpg
    1000040792.jpg
    384.1 KB · Views: 20
Broo.................sina huo mda. JNHPP mlichukua loan nyingi ikiwemo ya African export import Bank. Hiyo SGR mnaigawanya vipande vipande ili ionekane hamkuchukua loan lakini the fact is mlichukua. Hata yetu tulitumia pesa yetu kiasi zingine tukakopa ila husikii tukisema eti kipande fulani kilifanywa na pesa zetu.
Weekaaa SOURCE. Simple as that mbona unazunguka.
 
Broo.................sina huo mda. JNHPP mlichukua loan nyingi ikiwemo ya African export import Bank. Hiyo SGR mnaigawanya vipande vipande ili ionekane hamkuchukua loan lakini the fact is mlichukua. Hata yetu tulitumia pesa yetu kiasi zingine tukakopa ila husikii tukisema eti kipande fulani kilifanywa na pesa zetu.
Lot 1, Dar Moro source
 
Back
Top Bottom