Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza ni wapumbavu sijaona logic yeyote ya kung'oa Ile reli maana ingsfanya mizigo yote ya Northern Tanzania Kupitia Mombasa ila mizigo ya Uganda mingine ingeoitia MwanA au Musoma port but still mnufaika angekuwa Kenya na bandarinuetu ya Tanga isingekuwa na Tija sana.

Sasa ni hivi ukimwaga ugali tunamwaga mboga ,na Tzn tumepiga Pini Barabara ya Mombasa-Voi-Holili kusafirisha mzigo wa Kundustan Hadi hapo tutakapojenga Barabara ya Handeni -Kondoa-Singida Ili Bandari ya Tanga itumike vizuri.
View attachment 3037128

Ona Kilio Cha Kundustan hapa 👇👇

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1808064957981892785?t=M7QabtQjkHs8gSZx0Zv-ww&s=19

My Take: Tukirogwa na kuruhusu hii route manake Rwanda,Burundi na North Eastern DRC watumie Bandari ya Mombasa ila Dar na Tanga Port zibakie kuwa Bandari saizidi wa Mombasa,hili halitawezeiana panda Kundustan mjenge reli ya Voi na sisi tujenge reli ya Musoma Ili tugawane mzigo wa Uganda.
View attachment 3037129

Reli iling'olewa na Tanzania, Reli side ya Kenya bado ipo. It's funny nilipoandika kuwa nyinyi wajinga mling'oa reli hukuona shida hapo ila sahii umeaminishwa ni sisi tuliong'oa unaona kuna shida. No wonder wenzako wanakuita chawa. 🚮 🚮 🚮
 
Unawaskia kila mara wakisema Tanzania is Ze happiest country in Isti Afirika.

🤣 🤣 🤣

View attachment 3036886View attachment 3036889
Sasa watu ambao asubuhi kama hivi wameshaamka na vibe wanagonga boto kwa raha zao utawalinganisha na wafa njaa wa Kunyaland? Hawanywi mataputapu kama ninyi mafukara, watanzania hawana ushamba wa kumpa mtu attention hata angekua ni kiongozi, ninyi waabudu wazungu ndio mna huo ulimbukeni
Halafu nilikuambia watanzania hawana ushamba wa kubabaikia wala kupaparikia mzungu ukabisha naona umejionea sasa 😁😁

Screenshot_20240709-085549.jpg
 
View attachment 3037278
Hivi ukiangalia hiyo picha kuna cha kujivunia hapo? 🤣 🤣 🤣
Huwa wanasema mfungwa wa jerezani ana nafuu kuliko mfungwa wa akili.🤣🤣
Halafu usiongelee mambo ya attention kama hatuangalii hizo video. amesema ni confidence hamna ila attention mnampea hadi kuliko Kenya. Alafu ukiangalia attention anayopata Kenya ni ile friendly ama curiosity, hapo kwenu ni begging hadi yeye mwenyewe ameona kero. 🤣 🤣
chongchung

Screenshot 2024-06-24 214003.png
 
Hivi ukiangalia hiyo picha kuna cha kujivunia hapo? 🤣 🤣 🤣
Huwa wanasema mfungwa wa jerezani ana nafuu kuliko mfungwa wa akili.🤣🤣
Hapo ni asubuhi huyo mzungu kaenda kununua maji kakuta wenyeji wanajinywea beers kwa raha zao nchi imejaa maziwa na asali, wapo happy wanaishi their best life, iweje useme eti watanzania hawapo happy kisa hawampi Kiki mzungu?

Watanzania wengine hawa huku, iwe vijijini interior iwe mjini watanzania ni watu wakufurahia mazuri ya nchi yao, hata sherehe harusi, sendoff, kitchen party, birthday parties, Tanzania inaongoza Africa nakushangaa unaposema watanzania hawana furaha

View: https://www.instagram.com/reel/C9Aulobt2Du/?igsh=MWJnbGVrNnhtZzQ3bA==
 
Bro, hamna cha kujivunia hapo. Mtu maskini hadi anakua ombaomba alafu asubuhi badala ya kwenda kazini yupo anakunywa pombe kwa kibanda kibovu hivo. Una shida ya akili.
Hiyo picha ya pili unaonyesha ili iweje? Lack of exposure ni kitu kibaya. Hiyo picha ya kawaida sana mmeitembeza humu hadi imechoka. Hivi mnadhani picha ya watu kwenye club wakijivinjari ni miujiza? Inaonekana haya mambo hamjayazoea. 🤣🤣
 
Usijizime data point ni kwamba hapo ni asubuhi na mapema, Kijijini kwenu ni full of illicit horse urine, gongo na matakataka mengine hamna uwezo wa kunywa packed beers kama watanzania wengi, na hii ni moja ya indicator ya maisha bora na furaha
20240709_091856.jpg
 
Reli iling'olewa na Tanzania, Reli side ya Kenya bado ipo. It's funny nilipoandika kuwa nyinyi wajinga mling'oa reli hukuona shida hapo ila sahii umeaminishwa ni sisi tuliong'oa unaona kuna shida. No wonder wenzako wanakuita chawa. 🚮 🚮 🚮
Sawa ila hatutaki hiyo reli maana imelenga kunufaisha Kundustan,pia hatutafungua hiyo corridor mnayoomba Kwa the same reason.

Mwisho Sio swala la wenzangu kuniita chawa Bali Mimi ni chawa haswaaa wa Samia.

Harisha tena nikusafishe mtaro.
 
Bro, hamna cha kujivunia hapo. Mtu maskini hadi anakua ombaomba alafu asubuhi badala ya kwenda kazini yupo anakunywa pombe kwa kibanda kibovu hivo. Una shida ya akili.
Hiyo picha ya pili unaonyesha ili iweje? Lack of exposure ni kitu kibaya. Hiyo picha ya kawaida sana mmeitembeza humu hadi imechoka. Hivi mnadhani picha ya watu kwenye club wakijivinjari ni miujiza? Inaonekana haya mambo hamjayazoea. 🤣🤣
Kwa bata lipi hapo kenya mzee.? 🤣🤣🤣 heb post video ikionyexha locals wakila bata kama hilo asubuhi na mapema. 🤣🤣🤣 hayo ni maisha ya wazungu sio nyinyi mungiki njaaa
 
Hivi mradi wenu upi uko fully funded by the government? Mmezoea kudanganywa kama mlivyodanganywa SGR ni fully funded by the government. Miradi yote mnayojichocha nayo humu ni either loans ama misaada. Mmelala fofofo matatizo tunayoyapinga huku kwa maandamano yapo kwenu hata zaidi alafu mnajiona wajanja? Afrika nzima imeona ujasiri wetu inajaribu kuiga nyinyi mko hapo na chuki zenu eti hamuwezi andamana juu hamna njaa. Yule mzungu Yves anawaumbua kule YouTube tunaona heri kwetu kuna nafuu kuliko huko kwenu na bado mnajiaminisha eti hamuandamani kisa mnajitosheleza? Tumeona nchi Tajiri kama Marekani kwenye uchumi wa kitown kidogo huko kama Austin chenye idadi ya watu laki tisa pekee umeshinda uchumi wa Tanzania nzima lakini bado wanaenda maandamano kisa high cost of living alafu nyie mko huko ombaomba hadi mnawakera wageni nchini mwenu na mmeexport hao ombaomba nchi jirani alafu bado mnajikenua eti hamuandamani kisa mko na land of milk and honey? Wajinga nyinyi.
Aloo hiki kilio sio cha kawaida, nani huyo kaingiza yote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom