Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What are you talking about you Bongolala? The railway from Voi to Taveta is still intact only in disuse. Wewe unafuata mambo ya Mwanasiasa anayejaribu kutetea maamuzi yake mabovu akiwa madarakani? Huoni sahii anasema hakualikwa kwenye coalition of the willing wakati unajua alikataa mwenyewe mambo ya Visa moja? Ama Wakenya walikuja wakan'oa section ya reli iliyoko upande wa Tanzania wakawacha upande wa Kenya?🤣 🤣
Hii issue ya northern corridor kutumia route ya Tanzania hapana kwa kweli sisi bado tuko unwilling endeleeni tu na coalition of the willing 😎
 
Sasa watu ambao asubuhi kama hivi wameshaamka na vibe wanagonga boto kwa raha zao utawalinganisha na wafa njaa wa Kunyaland? Hawanywi mataputapu kama ninyi mafukara, watanzania hawana ushamba wa kumpa mtu attention hata angekua ni kiongozi, ninyi waabudu wazungu ndio mna huo ulimbukeni
Halafu nilikuambia watanzania hawana ushamba wa kubabaikia wala kupaparikia mzungu ukabisha naona umejionea sasa 😁😁

View attachment 3037278
Mimi mwenyewe nimeshagonga two meals mpaka saa hii inawezekana yeye bado hajapata kifungua kinywa msamehe tuu analumbana na watu walioshiba 😁
 
Hivi ukiangalia hiyo picha kuna cha kujivunia hapo? 🤣 🤣 🤣
Huwa wanasema mfungwa wa jerezani ana nafuu kuliko mfungwa wa akili.🤣🤣
Halafu usiongelee mambo ya attention kama hatuangalii hizo video. amesema ni confidence hamna ila attention mnampea hadi kuliko Kenya. Alafu ukiangalia attention anayopata Kenya ni ile friendly ama curiosity, hapo kwenu ni begging hadi yeye mwenyewe ameona kero. 🤣 🤣
chongchung

View attachment 3037286
Wewe kwani kipofu huoni miundombinu ya umeme hapo? Na hapo ni interior kinoma.😎
 
Nchi ya kimavi mavi sn Kenya.
Ni toka 1990s wanaandamana ila Nchi iko vile vile alafu wanatupigia kelele eti hatuandamani, tuandamaneje ikiwa serikali inasikiliza hoja?

Wanaandamana unga wa ugali? Bei ya mazao ikipaaa si tunapeleka kelele waziri huyu hapa stock ya NFRA inafunguliwa?

Alafu mikakati ya Ruzuku kwa pembejeo inaanzishwa ili mkulima akiuza ndani asilie sana.

Bei ya Mafuta? Ukiwa na gari CNG ipo fresh tu unachange, Kodi mbona viongozi wanafika?

Sakata la DP World mbona tulikomaa wakaacha ujinga wa kurekebisha Permanent Sovereignty law.

Mnatakaje basi? Kila mahali kuna alternative na sometimes zinakua from government, vijana hao wanagawiwa vipande vya ardhi na kusaidiwa left right. Walilie nini?

Umachinga unaruhusiwa na unalipa masoko ni mengi nchini, Media zinaajiri vijana kila kukicha. Tufanyeje?

Sababu kuu hatuandamani ni serikali haijawahi kutuweka kwenye kona kiasi kwamba ikipitisha kitu wote tunakufa njaa.

Usituone hivi, kumbuka mtwara waliingia barabarani kisa gesi kuja Dar mpaka vifaru viliingia, Guess what now mradi wowote related na gesi unaishia mtwara na Walijengewa kituo cha kufua umeme via Gas (Gas Kwenda dar ni kufua umeme Kinyerezi na Ubungo), Walipelekewa Dangote Cement kwa Ajiri ya Ajira, Cashew nuts ikawekewa mkakati ili irudishe pesa kuwe na alternative sources of income.

Sisi sio nyie tuna misingi yetu ya kitaifa. Ndio maana tunasema siku zote Jomo Kenyatta aliwapoteza kabisa.
 
Bro, hamna cha kujivunia hapo. Mtu maskini hadi anakua ombaomba alafu asubuhi badala ya kwenda kazini yupo anakunywa pombe kwa kibanda kibovu hivo. Una shida ya akili.
Hiyo picha ya pili unaonyesha ili iweje? Lack of exposure ni kitu kibaya. Hiyo picha ya kawaida sana mmeitembeza humu hadi imechoka. Hivi mnadhani picha ya watu kwenye club wakijivinjari ni miujiza? Inaonekana haya mambo hamjayazoea. 🤣🤣
Umeitoa wapi hii au unajiropokea, ivi hii EA kuna watu Shameless kuliko nyie?
 
Bro, hamna cha kujivunia hapo. Mtu maskini hadi anakua ombaomba alafu asubuhi badala ya kwenda kazini yupo anakunywa pombe kwa kibanda kibovu hivo. Una shida ya akili.
Hiyo picha ya pili unaonyesha ili iweje? Lack of exposure ni kitu kibaya. Hiyo picha ya kawaida sana mmeitembeza humu hadi imechoka. Hivi mnadhani picha ya watu kwenye club wakijivinjari ni miujiza? Inaonekana haya mambo hamjayazoea. 🤣🤣
Usidhani sisi sio nyie, ikiwa tu chakula hakitusumbui sembuse kupiga starehe?
 
Ni toka 1990s wanaandamana ila Nchi iko vile vile alafu wanatupigia kelele eti hatuandamani, tuandamaneje ikiwa serikali inasikiliza hoja?

Wanaandamana unga wa ugali? Bei ya mazao ikipaaa si tunapeleka kelele waziri huyu hapa stock ya NFRA inafunguliwa?

Alafu mikakati ya Ruzuku kwa pembejeo inaanzishwa ili mkulima akiuza ndani asilie sana.

Bei ya Mafuta? Ukiwa na gari CNG ipo fresh tu unachange, Kodi mbona viongozi wanafika?

Sakata la DP World mbona tulikomaa wakaacha ujinga wa kurekebisha Permanent Sovereignty law.

Mnatakaje basi? Kila mahali kuna alternative na sometimes zinakua from government, vijana hao wanagawiwa vipande vya ardhi na kusaidiwa left right. Walilie nini?

Umachinga unaruhusiwa na unalipa masoko ni mengi nchini, Media zinaajiri vijana kila kukicha. Tufanyeje?

Sababu kuu hatuandamani ni serikali haijawahi kutuweka kwenye kona kiasi kwamba ikipitisha kitu wote tunakufa njaa.

Usituone hivi, kumbuka mtwara waliingia barabarani kisa gesi kuja Dar mpaka vifaru viliingia, Guess what now mradi wowote related na gesi unaishia mtwara na Walijengewa kituo cha kufua umeme via Gas (Gas Kwenda dar ni kufua umeme Kinyerezi na Ubungo), Walipelekewa Dangote Cement kwa Ajiri ya Ajira, Cashew nuts ikawekewa mkakati ili irudishe pesa kuwe na alternative sources of income.

Sisi sio nyie tuna misingi yetu ya kitaifa. Ndio maana tunasema siku zote Jomo Kenyatta aliwapoteza kabisa.
Serikali ingekuwa inasikiza hoja hamngekuwa ombaomba hivi. 🤣 🤣

Screenshot 2024-07-09 114649.png
screenshot_20240709-095549-jpg.3037322
 
Na unaamini eeh? Joy gani hiyo? Ya kumshobokea mzungu au?

Kenya kuna Joy? Why juzi hatukuisikia Gen Z wanasema hakuna Joy kabisa

Mbona naona mkimshobokea? Ona hadi huyu anamwambia aje Kilimanjaro mzungu amemwambia Kilimanjaro ombaomba ni wengi. Hiyo hiyo Kilimanjaro ndio eneo lenye nafuu zaidi nchi yenu. Sasa akiingia kwa mafukara inakuwaje? 🤣 🤣

Mbona nisiamini kitu ninachoona na macho yangu? Watu huzuni hawana confidence, wanamfuatafuata mzungu ila kila wanachoweza kuongea ni kuomba tu?

screenshot_20240709-095549-jpg.3037322
 
Huwa mnanifurahisha pale yeyote akisema kitu kuhusu Tanzania ambacho sio sifa mnasema anachukia Tanzania. Hamna exposure, mnaijua Tanzania kupitia wanasiasa wenu ndio maana all foreigners wakija wanaona Tanzania bado sana kwa Kenya wanamuacha mkitupa mitusi.
Mnamchukia kisa anawaambia ukweli. Alipoingia mlikuwa mnamshabikia. Attention anaipata, ila ni attention mbaya ya kuombwaombwa. Mzungu hawachukii, mmemuomba hadi amekereka. Hadi watoto wadogo wanamuomba. Mnaomba hadi chakula halafu humu mnatupigia kelele eti mna chakula kingi. Nimeanza kuona wakati mwengine mnatuuzia chakula kisa nyinyi wenyewe hamuwezi afford kukinunua maanake haya sijayaona Kenya.View attachment 3037410View attachment 3037413 🤣 🤣 🤣

View attachment 3037405View attachment 3037406
View attachment 3037408
Aibu sna hii, bila shaka huyo atakua mmoja hapa ndani aneomba chakula wakati ameshika jembe 😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Screenshot 2024-07-09 114855.png
 
mtoto wa kiume anaomba chakula, hwa ndio hutombw.a na wazungu 👇😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Screenshot 2024-07-09 113919.png
 
I feel kama unaflash ubongo, if mnalipa twice mbona hao wote wanashindwa afford bei ya unga From Tz?

Pia wanaingia Barabarani kufanyaje?

Eti pays 3 times nye nyenye hata mlipe mara 10 still wana hali mbaya mpaka kila mwaka wako barabarani..

Nasikia huu mwezi wa 6 hawajalipwa,.

Are you disputing the figures? If so, dispute with other figures.
If not, jifunze kunyamaza.

Kenyans have a higher Human Development Index than bongolala.
In short, a higher standard of living. The only reason bongolalas afford anything is because your country is full low standards. From housing, to food, to healthcare.

hdi.JPG
 
Back
Top Bottom