Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I just made a $100 bet with someone that you will commit suicide before 2027 due to Talanta hosting opening and closing ceremonies/matches …please I beg you not to let me down…. I can even give you ideas.. hugging a transformer is a start …🤣🤣🤣
Nyie ni taifa la watu waongo na wapumbavu Ukanda huu. 😂😂😂
 
I just made a $100 bet with someone that you will commit suicide before 2027 due to Talanta hosting opening and closing ceremonies/matches …please I beg you not to let me down…. I can even give you ideas.. hugging a transformer is a start …🤣🤣🤣
Siku hio tutawafukuza humu ndani.
 
Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document.

Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
You can not compare doctrinated people with free mind ones.
 
Kenya wameshaandaa mashindani gani makubwa? Huoni hata yale mashindani ya vilabu Africa nzima ilichaguliwa Tanzania? CAF hawawezi fanya ujinga huo, kama sio sisi East Africa wasingepata hii nafasi. Kwa mpira upi kwanza?
Almost 5 yrs hiyo michuano ya cecafa inafanyika TZ tu,hata mwaka huu timu za ukunyani zitakuja kucheza cecafa TZ na kina coastal union
 
Ujinga wako ni kudhani biashara ni emotions. Importation na exportation haifanywi juu ya urafiki wa marais bali ni cost and efficiency. Wewe unadhani wafanya biashara wa Uganda ni wajinga waitumie Mombasa wakati kuna a better option hapo Dar? Ukiona Uganda wanatumia Mombasa port kwa asilimia zaidi ya 80 ujue sababu ni that is the most cost effective and efficient route. Chuki hailetwi kwa biashara, hata wewe unavyoichukia Kenya, ungekuwa mfanya biashara na ugundue utapata ROI nzuri ukiingizia bidhaa Mombasa kuliko Dar utaingizia tu Mombasa. Ama hujui wafanya biashara wengi Kaskazini mwa Tanzakundu wanaingizia mizigo Mombasa? Haujia mlivunja reli ya kutoka Voi hadi Arusha kisa mnapoteza biashara Mombasa lakini wapi? You don't mix business with emotions. 🤣 🤣
Hii ni mara ya 100 unairudia reli kuvunjwa seems inakuuma. It won't justify upuuzi wenu
 
Unawaskia kila mara wakisema Tanzania is Ze happiest country in Isti Afirika.


🤣 🤣 🤣

Screenshot 2024-07-08 205110.png
Screenshot 2024-07-08 205127.png
 
Back
Top Bottom