Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya employs twice as many police as Tanzania.
Kenya employs twice as many doctors as Tanzania.
Kenya employs 1.5 times as many teachers as Tanzania.

Kenya pays its, teachers, police, doctors, civil servants and government workers 2-3 times Tanzania.

Wewe umelipa kodi Mathare unadhani utashindana kunya na aliyechelewa kidogo kulipa yake Karen.
Wewe kweli bi mpumbavu wewe, kwani kuajiri watu wengi ni sifa.? 🤣🤣🤣

Mnakufa njaa kwasababu ya uzembe wa watu wenu vilaza, badala ya kutafuta majembe mkalime mpate mavuno mengi ya chakula na biashara, mnazengea wazungu waje wakujengeeni nchi mpumbavu kabisa nyinyi. 🤣🤣🤣
 
Kenya employs twice as many police as Tanzania.
Kenya employs twice as many doctors as Tanzania.
Kenya employs 1.5 times as many teachers as Tanzania.

Kenya pays its, teachers, police, doctors, civil servants and government workers 2-3 times Tanzania.

Wewe umelipa kodi Mathare unadhani utashindana kunya na aliyechelewa kidogo kulipa yake Karen.
Umedanganywa na Nani upuuzi huo??🤣🤣

Au mama Ngina source ???
 
Unawaskia kila mara wakisema Tanzania is Ze happiest country in Isti Afirika.


🤣 🤣 🤣

View attachment 3036886View attachment 3036889
Screenshot_20240708_231805_Gallery.jpg

Utawasikia wanasema kunyan gdp ni kubwa in contrary wanashindwa kuafford hata milo 3 kwa siku
 
Ujinga wako ni kudhani biashara ni emotions. Importation na exportation haifanywi juu ya urafiki wa marais bali ni cost and efficiency. Wewe unadhani wafanya biashara wa Uganda ni wajinga waitumie Mombasa wakati kuna a better option hapo Dar? Ukiona Uganda wanatumia Mombasa port kwa asilimia zaidi ya 80 ujue sababu ni that is the most cost effective and efficient route. Chuki hailetwi kwa biashara, hata wewe unavyoichukia Kenya, ungekuwa mfanya biashara na ugundue utapata ROI nzuri ukiingizia bidhaa Mombasa kuliko Dar utaingizia tu Mombasa. Ama hujui wafanya biashara wengi Kaskazini mwa Tanzakundu wanaingizia mizigo Mombasa? Haujia mlivunja reli ya kutoka Voi hadi Arusha kisa mnapoteza biashara Mombasa lakini wapi? You don't mix business with emotions. 🤣 🤣
Hiv ni nani alivunja reli ya Voi hadi Arusha. Ni Tanzania au kenya?
Mnapenda kuplay victims sana wakati nyinyi ni vigeugeu na watu wa hovyo.

Hebu msikilize Kikwete hapa kuanzia dk ya sita...Nani aling'oa Reli ya voi kama sio nyinyi na coalition of willing zenu


View: https://youtu.be/46vpJFkkBzQ?si=DBaTCXFU0hVKIc5G
 
Back
Top Bottom