Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikitokea nchi za Afrika mashariki zimeungana tukawa na sarafu moja, dola 1 ya marekani itakuwa ni sawa na shilingi ngapi za nchi ya Afrika mashariki?
Makadirio yafanyike kwa muungano wa baadhi ya nchi za Afrika mashariki na kwa nchi zote.
mf. (TZA+KEN+ UGN), (TZA+KEN+UGN+RWN+BRD) nk....

Hii ni chemsha bongo bandugu, haipo gugo hii.
 
Tanzania ishatangazika sana.
Kuna mambo mbadala ya kuongea na Korea kuliko hayo ya filamu.
Mathalan utaalamu wa uendeshaji miradi mikubwa kama reli,teknolojia zingine muhimu.
Kuna mengi ya kujifunza kutoka Korea aisee.
Alivyoanza kazi alirekodi muvi, baadae akasema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Bila shaka tusubirie mpaka aje Masiha/Mtume wa Technology.
Nabii wa Technology hajafanikiwa kufika na sisi nchi ya ahadi
 
Yaani mama kapeleka Dreamliner letu Korea kuwapatia wasanii mchongo wa muvi badala ya kupeleka computer engineers wapate ujuzi wa kutengeneza ICs? Kweli akili ni watu.
Dreamliner haijaenda Bure huko,imelipiwa kama ambavyo safari zingine hulipiwa.

Ndege za serikali (Chini ya wakala wa ndege) zimekodishiwa ATCL so hakuna Cha Bure hapo.

Pili Film industry ni muhimu sana Kwa Uchumi wa wasanii na kuitangaza Nchi hususani Kwa Sasa tunapoanza kushirikiana na magwiji wa filamu Duniani ambao ni Korea.
 
Mbumbumbu Mko wengi sana.Film industry ya Korea inaleta pesa na kutangaza Nchi Yao au hapana?👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9Hb4KSAH9g/?igsh=azRqYXQxOWdhZWUy

Bro TUMIA AKILI.
Korea iko mbele kwa mambo mengi sana.
Sisi tuko nyuma mno katika mambo mengi MUHIMU.
Kuna nyanja ambazo tunatakiwa tuzipe kipaumbele kwanza kuliko suala la filamu.
Tuna sekta nyingi ambazo tuko nyuma tunatakiwa tujifunze ambazo ni MUHIMU SAANAAA kuliko filamu.
 
Ikitokea nchi za Afrika mashariki zimeungana tukawa na sarafu moja, dola 1 ya marekani itakuwa ni sawa na shilingi ngapi za nchi ya Afrika mashariki?
Makadirio yafanyike kwa muungano wa baadhi ya nchi za Afrika mashariki na kwa nchi zote.
mf. (TZA+KEN+ UGN), (TZA+KEN+UGN+RWN+BRD) nk....

Hii ni chemsha bongo bandugu, haipo gugo hii.
Sarafu moja (optional kama euro) nakubali ila ondoa hilo neno ya kuungana. Siweziungana na manyang'au yenye ukabila na njaa ambayo yakipata milo miwili tu kwa siku yanajiona yana IQ kubwa kulko nchi zote Afrika
 
Bro TUMIA AKILI.
Korea iko mbele kwa mambo mengi sana.
Sisi tuko nyuma mno katika mambo mengi MUHIMU.
Kuna nyanja ambazo tunatakiwa tuzipe kipaumbele kwanza kuliko suala la filamu.
Tuna sekta nyingi ambazo tuko nyuma tunatakiwa tujifunze ambazo ni MUHIMU SAANAAA kuliko filamu.
Unadhani Tanzania imeanza Leo kushirikiana na Korea? Hizo nyanja hatuzupi kipaombele? Nikutajie mojawapo? Kwani Samia alienda Korea kuuza sura?

Mwisho,jibu swali Film industry ya Korea inaleta pesa na kuitangaza Nchi Yao au hapana?
 
Kuna mada niliona kwamba eti Tanzania inaweza pokonywa nafasi ya uwenyeji wa Afcon Kwa sababu za kuchelewa maandalizi wakapewa Rwanda.

Sijui inawezekana vipi ila kama hii taarifa ni kweli CAF wameipa Kundustan fursa hii basi hata Afcon yenyewe haiana manaa tena,Kwa sababu mechi za ufunguzi na fainali ndio za muhimu Kwa kutangaza Nchi. 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=te_MtvTqaSShv_4Zx0ua3w&s=19
 
Bro huwa unanichoshaga hapo tu.
Taja hizo sekta muhimu ambazo Tanzania tumejifunza toka kwa Korea.

Usijifananishe na Korea,Korea ishapiga hatua we jamaa, katika vitu inavyowatangaza Korea kimataifa filamu haiingii hata tatu bora,kuna mambo makubwa Korea yanawatangaza kuliko filamu.
1)Teknolojia ya silaha na AI na mawasiliano.
2)Afya hususan upande wa cosmetic surgery.
N.k n.k
Aya wewe Tanzania unafanana naye wapi!?
Chawa wa mama bhana akili zao muda mwingine!?
 
Wewe sasa ndio mbumbumbumbu... Usiniambie kwamba hujui Samsung imetoka Korea, achana na Joka la umeme mnalochukulia credit na mengineyo.

Juzijuzi tu mlipeleka mdoli bungeni mkasema ni robot, angepeleka tech teams tukuze AI
Anashangaza sana huyu jamaa.
Yani film industry Korea ni industry ya kawaida.
Kuna mambo lukuki Korea yanawatangaza tofauti na filamu.
Mifano ya haraka nimetoa hapo juu.
Wewe Tanzania badala ya kwenda kuomba usaidizi wa mambo ya msingi ya kuendesha nchi unaenda kuomba usaidizi kuhusu filamu.
Bullshit.
 
Kuna mada niliona kwamba eti Tanzania inaweza pokonywa nafasi ya uwenyeji wa Afcon Kwa sababu za kuchelewa maandalizi wakapewa Rwanda.

Sijui inawezekana vipi ila kama hii taarifa ni kweli CAF wameipa Kundustan fursa hii basi hata Afcon yenyewe haiana manaa tena,Kwa sababu mechi za ufunguzi na fainali ndio za muhimu Kwa kutangaza Nchi. 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=te_MtvTqaSShv_4Zx0ua3w&s=19

Waulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!

View: https://x.com/StateHouseSpoks/status/1809816931286819245
 
Back
Top Bottom