Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nililalamika sana hapa kuhusu Masoud kipanya kutopata support kubwa ya serikali kwenye uzinduzi wa gari lake. Hata kama ni kampuni yake binafsi, lakini akiwezeshwa atatoa ajira na kodi serikali itapata.

Elon Musk makampuni yake hayatengenezi faida, yapo kwa hisani ya ruzuku. Sasa wanashindwa nini kumwezesha Mtanzania aliyeonesha nia na uwezo? Masoud ndiye alikuwa mtu sahihi wa kwenda naye Korea ili ajifunze jinsi ya kuendesha kampuni ya magari.
Mkuu bora umeongea wewe,ila kuna chawa wa mama huko watalipinga hili.
Tulikua tuna mambo mengi ya kimkakati ya kujifunza kwa S.Korea tofauti na filamu.
Angalia filamu ina contribute asilimia ngapi ya mapato halafu uone tulistahili kuweka mkazo mkubwa vile badala ya kutizama mambo nyeti kwanza!?
Ama kweli tumekosa rais mwenye maono.Nahisi hata WaKorea wenyewe wametucheka sanaaaa tena saaanaaaa.
 
Masoud amesema gari yake itaanza kuingia sokoni soon 😂😂

Basi Kuna event Moja alitufanyia demo alisema anashirikiana na Robert Gabriel ,watu tulivyoona kile kigari chake tulicheka sana 😁😁😁😁

Ila he has the courage n uthubutu
 
Hawa nyangau ni shida hawaaminiki hata kidogo na hawana tabia ya kutoa msaada wa kindugu in the spirit of East Africa.
Ila Uganda nao ni wajinga wakija Tanzania tuwadindie! Wapuuzi sana!
 
Hii kali imekupita NairobiWalker Kino Yves yuasema bongo is a begging country
IMG_20240707_142729.JPG
 
Ila Uganda nao ni wajinga wakija Tanzania tuwadindie! Wapuuzi sana!
Ujinga wako ni kudhani biashara ni emotions. Importation na exportation haifanywi juu ya urafiki wa marais bali ni cost and efficiency. Wewe unadhani wafanya biashara wa Uganda ni wajinga waitumie Mombasa wakati kuna a better option hapo Dar? Ukiona Uganda wanatumia Mombasa port kwa asilimia zaidi ya 80 ujue sababu ni that is the most cost effective and efficient route. Chuki hailetwi kwa biashara, hata wewe unavyoichukia Kenya, ungekuwa mfanya biashara na ugundue utapata ROI nzuri ukiingizia bidhaa Mombasa kuliko Dar utaingizia tu Mombasa. Ama hujui wafanya biashara wengi Kaskazini mwa Tanzakundu wanaingizia mizigo Mombasa? Haujia mlivunja reli ya kutoka Voi hadi Arusha kisa mnapoteza biashara Mombasa lakini wapi? You don't mix business with emotions. 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom