Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
balance itatoka wapi? kutoka Kshs 12.8 bln to 43.6 bln?
Ndio basi hio, karibuni talanta stadium kwa mechi za ufunguzi na fainali. 😬Wa Arusha mbona hajautaja au ndio basi tena🤔
Hii ndio HQ za their 4th CityUjamaa village.
View attachment 3036687
Kila district Tanzania ina jengo sio kama Kunyaland 1 building for the entire cauntyHii ndio HQ za their 4th City
Ukweli ni kwamba baada ya soil analysis pale arusha findings zimeonesha eneo halifai kwa such a structure, sijui kinatokea kipiWacha sport CS wao aendelee kuota ati Afcon opening and closing matches zitachezwa Nairobi!
Nyangau alileta cheap propaganda 🤣🤣🤣Nimeona adhuhuri TBC michezo Karia kakanusha kuwa kundurendamisifa atahosti ufunguzi na faino gemu bado najiuliza msemaji wa ikulu alitoa wapi hizo tarifa
Nimeangalia nikacheka sana bora hata wangeweka a conservative budget ya 20bn hiyo ndio size yao.balance itatoka wapi? kutoka Kshs 12.8 bln to 43.6 bln?
Ukweli ni kwamba baada ya soil analysis pale arusha findings zimeonesha eneo halifai kwa such a structure, sijui kinatokea kipi
View: https://youtu.be/I7CD5Rsa_ns?si=3L6-vNkvnmKt7HvY
Ukweli ni kwamba baada ya soil analysis pale arusha findings zimeonesha eneo halifai kwa such a structure, sijui kinatokea kipi
View: https://youtu.be/I7CD5Rsa_ns?si=3L6-vNkvnmKt7HvY
Kumbe hii tabia ya kujisifia kwenye hakuna ni tabia yao ya kitaifa. 😂😂😂😂 imagine ofisi ya msemaji mkuu wa serikali instead taarifa za uongo. Duh kweli hili ni taifa la wanuka mavi. Kwa sauti ya The best 007. 🤣🤣Nyangau alileta cheap propaganda 🤣🤣🤣
VP mpole sana.Nimeingia tena Kigoma kwa kina Geza Ulole kwa ziara ya Dr. Mpango inayoanza kesho kwa siku 7.
Hii barabara ya kutoka Mwanga roundabout mpk Ujiji hasa kuanzia mataa ya Mawen wamefanya upuuzi sana.. hakuna hata kuturn right katikat ya barabara.. yan mpk ufike mwisho wa barabara ndo unageuka..
Wanajenga pia kutoka Mwanga roundabout kwenda Stendi kuu haina 'turn to right', yan mpk ufike mwisho wa barabara ndo unageuka kulia.. RM wa tanroad Kigoma tuna kazi nae, lazima aliwe kichwa, hata barabara ya Malagaras hadi Uvinza upuuzi mtupu, mradi una miaka 7 sasa
Sikuhiz nimetingwa, speed ya comments humu ziko mbio sana afu mim bado niko nyuma nazifukuzia, naishia kutoa likes tu
Ni kweli, kwa hiyo hilo eneo lingine ni tofauti na lile la mwanzo, maana yake lazima kuwe na delay kidogo ila kikubwa waongeze kasiNimefuatilia hii interview yote,nimeskia Msigwa akizungumzia kuhusu viwanja na miundo mbinu mingine kwaajkli ya Afcon
Uwanja wa Arusha upo (unajengwa) washapata eneo jingine ..
Uwanja wa Dodoma upo (utajengwa)wapo kwenye taratibu za kumpata mkandarasi.
Nimemskia akizungumzia kuhusu kujenga viwanja vitano vya mazoezi hapa Dar. Kwaajili ya Afcon.. Ametaja maenoe yafuatayo:-
1.Leaders club
2.Law school (mawasiliano)
3.Farasi
4.Tigo
5.Gymkhana.
I just made a $100 bet with someone that you will commit suicide before 2027 due to Talanta hosting opening and closing ceremonies/matches …please I beg you not to let me down…. I can even give you ideas.. hugging a transformer is a start …🤣🤣🤣Kumbuka ni gazeti la Kenya hilo, kama Tanzania haita host michuano hii manaake hii michuano haitafanyika EA mana Kenya hali yao ni mbaya, nani atataka kwenda Kenya akapigwe bomu? Lkn na sisi pia tunatakiwa tujue kwamba huyu mama amefeli kila kona, anatembelea nyota ya magu, kitu kidogo kama ku host afcon kinamshinda, je SGR angeweza? Hivi ninavyoongea BRT zishamshinda, posta mpk gongo la Mboto hamna kinachoendelea, mm nawaambia watanzania wenzangu kwamba huyu mwanamke hatotupeleka popote, ila kama mtaendekeza usiasa sawa tuishi humo, lkn huyu mwanamke hana anachokijua.