ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,314
- 88,348
Huyu mzungu anawavua anawaacha ndethe. Watamchukia sana. Achunge wasimroge maana hivyo ndivyo walivyo. 🤣 🤣 🤣Hii kali imekupita NairobiWalker Kino Yves yuasema bongo is a begging country View attachment 3036493
Sisi ndio baba yao wote hawa wakikwama lazima waje tuwasaidie hakuna namna hatuna moyo wa kinyangau sisi.Ila Uganda nao ni wajinga wakija Tanzania tuwadindie! Wapuuzi sana!
Mazungumzo yalishafanyika why leo unilaterally uongeze tozo bila makubalianao au ni tamaa ya kinyangau?Ujinga wako ni kudhani biashara ni emotions. Importation na exportation haifanywi juu ya urafiki wa marais bali ni cost and efficiency. Wewe unadhani wafanya biashara wa Uganda ni wajinga waitumie Mombasa wakati kuna a better option hapo Dar? Ukiona Uganda wanatumia Mombasa port kwa asilimia zaidi ya 80 ujue sababu ni that is the most cost effective and efficient route. Chuki hailetwi kwa biashara, hata wewe unavyoichukia Kenya, ungekuwa⁸ mfanya biashara na ugundue utapata ROI nzuri ukiingizia bidhaa Mombasa kuliko Dar utaingizia tu Mombasa. Ama hujui wafanya biashara wengi Kaskazini mwa Tanzakundu wanaingizia mizigo Mombasa? Haujia mlivunja reli ya kutoka Voi hadi Arusha kisa mnapoteza biashara Mombasa lakini wapi? You don't mix business with emotions. 🤣 🤣
Aawapii si kirahisi hivyo CAF washamchimba biti!
Nilisema jana kwamba ile kauli aikua kutoka CAF ispokua ni upumbavu tu wa hawa jirani zenu vilaza. 🤣🤣🤣
Sawa tumekuskia motsepe WA dongo kundu slum 😂😅😅
Kama za EACOP sio?
View: https://youtu.be/lzep7LXVu8k?si=PIzKMIsxuqcXpKiT
Naona wakina mwathadan na NairobiWalker wanafurahia!
nimeskia wa Fumba Zanzibar badala yake!Wa Arusha mbona hajautaja au ndio basi tena🤔