Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unahangaika sana? Treni yetu inaenda 160kph kwetu sisi ni fastest. Hizo za UK nyingi ni 120mph kama 200kph tu kwa Europe not fastest. Na wewe pia unalinganisha UK na Tz leo? Mjadala wa treni kati ya Tz na Ke ushaisha. Pumba na mchele zishajitenga.

Msome huyo mzungu mpaka mwisho utagundua alikuwa in pains. Anadai Tanzania ni nchi maskini inawwezaje kuwa na miundombinu ya gharama kubwa wakati hata wao hawana?
 
Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu Zimbamwean likapita London bus yale marefu wanaita bendy bus(Kama mwendokasi haya marefu yameungwa katikati) nikamwambia haya mabasi yalikuwa Tz wakati niko shule ya msingi nilikuwa napanda, jamaa alikataa akaniambia ni uwongo, mnakumbuka Ikarus miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990s? Ndio kama haya mwendokasi tuliyoa nayo sasa hivi.
Yapo kwenye picha ungemuonesha.

1720121472420.png
 
Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu Zimbamwean likapita London bus yale marefu wanaita bendy bus(Kama mwendokasi haya marefu yameungwa katikati) nikamwambia haya mabasi yalikuwa Tz wakati niko shule ya msingi nilikuwa napanda, jamaa alikataa akaniambia ni uwongo, mnakumbuka Ikarus miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990s? Ndio kama haya mwendokasi tuliyoa nayo sasa hivi.
Hata miaka ya sitini kulikuwepo basi la ghorofa Dar mpaka orchestra Quilado waliimba kwenye wimbo wao wa 'Kifo cha penzi'.
" ...ni kheri ufe kwa kupondwa na basi ya ghorofa yakwenda Ilala..."

View: https://m.youtube.com/watch?v=RLY853QTAog
 
Speed of the railway system huwa determined na rail yenyewe sio trains. Sasa jaribu tembea na ilo punda mzee mpaka speed ya 178kph tuone vumbi kidogo.
Na reli yetu waliiunda kwa ufanisi wa kutembea ama kuhimili 160.
Ila imeonekana inahimili speed zaidi ya hiyo 160 na katika majaribio hilo limethibitishwa.
Natamani nipate ile video niilete hapa.
 
Treni yenu ikifika japo 80kph vyuma vinapiga kelele, haitowezekana diesel SGR ikazidi electric SGR ishi na hilo kwanza mengine yatafuata
Reli ya Kenya ni nzuri haina shida ni higher standards.
Ila locomotives ni takataka.
Yani vichwa vya treni ni takataka walivyonunua.
Na ukisema viongeze speed mtaua abiria wenye shinikizo la damu kwa vyuma kuruka ruka.
 
Wacha kuwadanganya jointed SGR with substandard signalling na ya fossil fuel inawezaje kuwa higher standards!
 
Reli ya Kenya ni nzuri haina shida ni higher standards.
Ila locomotives ni takataka.
Yani vichwa vya treni ni takataka walivyonunua.
Na ukisema viongeze speed mtaua abiria wenye shinikizo la damu kwa vyuma kuruka ruka.
Reli ya Kenya haijaungwa kwa moto yn haiko welded, iko jointed mwanzo mwisho, so treni zao zinalazimika kwenda mwendo wa kobe mana speed ikifika 80 tu inapiga kelele na ikiongezeka zaidi ya hapo inaweza ikaanguka, ni reli ya standard lkn kwa miaka ile ya 1800. Washamba sana wakenya, wamepigwa kindezi sn, hata sisi tusingekuwa na rais mjanja kama Magufuli tungepigwa kama wao, mana kina Kikwete walitaka kujenga kama ya Kenya.
 
Inamaana SGR ya Kenya kumbe jointed?
Mbona MGR yetu iko welded?
Yani MGR yetu ina ufanisi kuliko SGR Kenya?
 
Back
Top Bottom