The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Treni yenu ikifika japo 80kph vyuma vinapiga kelele, haitowezekana diesel SGR ikazidi electric SGR ishi na hilo kwanza mengine yatafuataInaweza fika hata 200kph, ingia youtube tafuta video jamaa anakwenda na 120 lakini bado mtambo wa diesel unamuacha.
Hizo ni unofficial speed, wenzako wamekubali 160 wewe unahisi ukikubali basi itakuwa mmeshindwa,endelea kusukuma agenda 😂😂