Tukiiweka kwa lugha rahisi tunasema binti yupo vizuri kwenye COMWEnicashoni 😂Madongo yako huwa ya kufikirika sana.
Forehead hio nahisi imeshafika December😂😂Tukiiweka kwa lugha rahisi tunasema binti yupo vizuri kwenye COMWEnicashoni 😂
View attachment 3033606
Hapo anajiona mzungu na manywele ya bandia, upuuzi mtupu.😎Tukiiweka kwa lugha rahisi tunasema binti yupo vizuri kwenye COMWEnicashoni 😂
View attachment 3033606
sasa binti anakuaje na kipara?Tukiiweka kwa lugha rahisi tunasema binti yupo vizuri kwenye COMWEnicashoni 😂
View attachment 3033606
Hii Kenya haijuia hata kwa muda huu wa trials tayari iko wazi termial ni ndogo.Ethiopia ni hyped failed state.
Mambo mengi Ethiopia yanakwama,pia Ethiopia wana light trains sio kama hizi za kwetu.
Passengers washaanza kuonesha muitiko,tena wale wengine walokua wanajazana katika MGR watapungua kuja SGR
Kwenye mizigo time will tell,just chill bro usiwe na kitete.
So by world class you mean electric ama? kwa sababu sioni kitu kingine peculiar na sgr ya Tanzania vis a vis kenya.
Need i remind you tulijenga sgr the same time na Ethiopia na wakati huo the script ilikua hii hii ya electric.
Fast forward today hype ziliisha licha ya kwamba Ethiopia ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania.
Unajua mpaka sasa sijachukulia serious Sgr yenu manake naijua tanzania haina ubavu interms of metric tonnes na passengers.
Hawajui hawa.Hii Kenya haijuia hata kwa muda huu wa trials tayari iko wazi termial ni ndogo.
According to TRC Max speed ni 205kph operating speed ni 160kphMax speed ni 180kph.
Ingekua max speed ni 160kph isingetembea speed ya 174kph moja kati ya safari zake.
Huyo hajakula kapata hypoglycemia yuko disoriented kidogo 😁Kijana umekunywa chai? Hueleweki. Weka hii kichwani. Treni ya Tz inaenda 160kph aidha ni slow au fast tunaachia nyie. Ni ya kisasa yaani world class popote pale duniani ni treni nzuri, kama umewahi kutembea duniani utanielewa. Mwisho nakufahamisha mjadala wa treni kati ya Tz na Ke ushaisha. Pumba na mchele zishajitenga. Tuendelee kujadili apartments ndefu za Nairobi.
Acha ushamba hakuna kitu kama average speed kwenye specs bali iko operating speed for Tz is 160kph.kuna kitu kinaitwa average speed na ni 160, meaning inapanda na kushuka
Hiyo 205 ni EMU,hizi electric locomotives mwisho 180kph.According to TRC Max speed ni 205kph operating speed ni 160kph
Hatuitaji maneno na picha, tuma hapa clip of your Chimney likichafua mazingira kwa speed ya unayodai.Madaraka express ya kenya inaweza kwenda beyond 120kph na ushahidi upo YouTube lakini hio sio official intended speed.
Kwanzaa kabisa ilo tofauti kubwa sana kati ya Tz trains na Kenyan ones apart from source of power Tz trains are eco-friendly Kenyans trains are not, Tz trains have higher speeds than Kenyan ones, Tz trains have heating ventilation air-conditioning hvac system kenyan trains hazina, tz trains ni Electric multiple units EMU kenya hamna EMU.So by world class you mean electric ama? kwa sababu sioni kitu kingine peculiar na sgr ya Tanzania vis a vis kenya.
Need i remind you tulijenga sgr the same time na Ethiopia na wakati huo the script ilikua hii hii ya electric.
Fast forward today hype ziliisha licha ya kwamba Ethiopia ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania.
Unajua mpaka sasa sijachukulia serious Sgr yenu manake naijua tanzania haina ubavu interms of metric tonnes na passengers.
Speed of the railway system huwa determined na rail yenyewe sio trains. Sasa jaribu tembea na ilo punda mzee mpaka speed ya 178kph tuone vumbi kidogo.Madaraka express ya kenya inaweza kwenda beyond 120kph na ushahidi upo YouTube lakini hio sio official intended speed.
Alivyo na roho ngumu atakuja na uongo mwingi tuu hapa hakosi maneno 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂Tutajie max speed ya Madaraka Express.
Maana sisi katika majaribio walianza na 150,wakaja 166,wakaja 174.
Na sasa speed inayotumika kukimbizana na muda licha ya kusimama vituo njiani ni 165-170+kph.
Tuletee max speed ya Madaraka express bro.
Apart from Ethiopian Airline, what else did they get it right?Hakuna metric yeyote Tanzania inaweza ishinda Ethiopia.
Wewe kima ile 3rd class linatoka zaidi ya 176kmp na tumekuletea clip mpaka ya spidi mita ikipanda na kushuka.Inaweza fika hata 200kph, ingia youtube tafuta video jamaa anakwenda na 120 lakini bado mtambo wa diesel unamuacha.
Hizo ni unofficial speed, wenzako wamekubali 160 wewe unahisi ukikubali basi itakuwa mmeshindwa,endelea kusukuma agenda 😂😂